04/02/2022
Ikiwa una sherehe ya mwanao... mtoto wa rafiki au nduguyo... na unahitaji kumfanyia party... sherehe ndogo aenjoy na watoto wenzake....sehemu salama wakati wewe unaendelea na shughuli zako. Tupo kwa ajili yako. Kodi ukumbi wa watoto...na tujuze nini unataka kufanya tutaarrange kila kitu. Wewe itabakia kuleta watoto tu kwetu... wacheze...wale...wanywe...wafurahi...
Ni sehemu salama, tutahakikisha watoto wanaenjoy na kufurahi... wanapata kumbukumbu nzuri...huku tukikupunguzia wewe mzazi/mlezi heka heka na kukuongezea mda zaidi wa kufanya shughuli nyingine.
Ni sehemu mahususi kwa ajili ya WATOTO TU Kuanzia miezi 6.
Iwe Birthday, Ubarikio , au just Kids Day Out....
Tupigie
☎️ +255 754 985 251
+255 688 644 622
📍 Migombani Street No.29, SEGEREA.