25/07/2021
Nakupenda mom, umefanya mengi kwa ajili yangu
ulinibeba tumboni mwako miezi 9
wewe ndio unaejua ukweli wowote kuhusu mimi
wewe hukulala mpaka mimi nilale
wewe hukula mpaka mimi nile
hukuvaa mpaka mimi nivae
ulijinyima ili mimi nipate mama
Mama, Nikifika nyumbani nisipokukuta wewe naona k**a vile nyumba haina mtu mama!
watanikimbia wote lakini mama wewe najua hutonikimbia
Najua hauuoni huu u*i mama lakini ni mimi mwanao naonesha upendo wangu kwako
Mungu akubariki na kukutia nguvu siku zote Mama