Dage_school

Dage_school CHUO CHA UREMBO NA MAPAMBO KINAPATIKANA SINZA AFRIKASANA DAR ES SALAAM

Ni muhura mwingine tena tunapokea wanafunzi wapya.... DAGE inaendelea na kazi wapendwa,, hawa ni wanafunzi wanaosomea ma...
12/06/2024

Ni muhura mwingine tena tunapokea wanafunzi wapya.... DAGE inaendelea na kazi wapendwa,, hawa ni wanafunzi wanaosomea mapishi wakiwa kwenye somo la kujifunza na kuelewa pia kujua jinsi ya kupika sambusa za nyama

Karibuni sana DAGE chuo cha urembo na mapambo pia mapishi...sinza Africa sana
11/06/2024

Karibuni sana DAGE chuo cha urembo na mapambo pia mapishi...sinza Africa sana

Kwa mara ya kwanza leo tumewafundisha na kuwaelekeza wapendwa wetu traditional make up na matokeo yao siyo mabaya
11/06/2024

Kwa mara ya kwanza leo tumewafundisha na kuwaelekeza wapendwa wetu traditional make up na matokeo yao siyo mabaya

08/06/2024
🤝KARIBU CHUO CHA UREMBO NA MAPAMBO:DAGECHUO KINAPOKEA WANAFUNZI KUTOKA MAENEO MBALIMBALI.CHUO KINATOA CHETI KWA NGAZI YA...
15/04/2024

🤝KARIBU CHUO CHA UREMBO NA MAPAMBO:DAGE
CHUO KINAPOKEA WANAFUNZI KUTOKA MAENEO MBALIMBALI.CHUO KINATOA CHETI KWA NGAZI YA CERTIFICATE
☑️CHUO KIMESAJILIWA REG: NO VET/DSM/PR/2012/D/004

CHUO KINATOA KOZI YA
1.COSTEMOLOGY K**A IFUATAVYO:
✳️UREMBO WA NGOZ (Beauty therapy)
▪️Facial
▪️Make up
✳️UREMBO WA KUCHA
▪️Kuosha kucha(manicure/pedicura)
✳️UREMBO WA NYWELE (Hair dresssing)
▪️Hair treatment
▪️Braiding (kusuka)
▪️Weaving (kushonea)
▪️Hair styling (kubana) nk
2.KUPAMBA MAHARUSI nk.
▪️KUPAMBA SHUGHULI MBALIMBALI
3.MAFUNZO YA KOMPUTER

🌐CHUO KINAPATIKANA DAR ES SALAAAM KARIBU NA SOKO LA SINZA AFRICASANA MTAA WA KING’OMBE
☑️JISAJILI SASA KWANI NAFASI NI CHACHE .”HOSTEL ZIPO”
📞KWA MAWASILIANO TUPIGIE
+255787413663
+255713413663
+255629448899
+255743888181

🙏TANGAZO LA **MSIBA**🙏KWA MASIKITIKO MAKUBWA  Tunapenda kutoa taarifa ya Msiba wa Ndugu yetu RechoAmbae alifariki trh 7 ...
09/04/2024

🙏TANGAZO LA **MSIBA**🙏
KWA MASIKITIKO MAKUBWA
Tunapenda kutoa taarifa ya Msiba wa Ndugu yetu Recho
Ambae alifariki trh 7 April.

Mazishi yatafanyika Tanga.
Ataagwa kesho saa 7 mchana nyumbani kwao Kimara kibanda cha mkaa.

Heri ya Pasaka wapendwa 🤗
31/03/2024

Heri ya Pasaka wapendwa 🤗

Tukiwa na  akiwaandaa wasichana Hawa kiakili waweze kwenda kupambana na maisha ya mtaani, wapate kujikwamua kiuchumi na ...
29/03/2024

Tukiwa na akiwaandaa wasichana Hawa kiakili waweze kwenda kupambana na maisha ya mtaani, wapate kujikwamua kiuchumi na waweze kukuza ujuzi wao.

Chuo Chetu kinapatikana sinza afrikasana mkabala na solo la afrikasana. Karibuni sana nafasi bado zipo.
tanzania

Rest in peace
01/03/2024

Rest in peace

Chuo Cha Urembo DAGE, kinapenda kuwatangazia nafasi zipo kwa muhula mpya. Karibuni muweze kupata nafasi ya kujifunza Ure...
05/02/2024

Chuo Cha Urembo DAGE, kinapenda kuwatangazia nafasi zipo kwa muhula mpya. Karibuni muweze kupata nafasi ya kujifunza Urembo. Ofisi zetu ziko wazi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 10 jioni, kuanzia jumatatu hadi ijumaa. Karibuni moats kujisajili. Hostel zipo pia.😊
,Afya na Uhai.

Yanayojiri chuoni kwetu Leo ni Haya Karibuni muhula mpya umeanza 2024
25/01/2024

Yanayojiri chuoni kwetu Leo ni Haya
Karibuni muhula mpya umeanza 2024

31/12/2023

Address

Sinza Afrikasana
Dar Es Salaam
P.O.BOX11413

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00
Sunday 08:00 - 19:00

Telephone

+255743888181

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dage_school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Dage_school:

Shortcuts

Share

Category