Karibu k-win Overseas kwa huduma bora na zenye uhakika
K-WIN overseas education
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from K-WIN overseas education, Education, Dar es Salaam.
We are dealing with recruitment of students who want to study abroad with scholarship (Asia, Europe and America) by assisting them with admission application process
Scholarships
K-win Overseas kwa huduma bora na ya uhakika.
30/12/2019
K**a una ndoto za kusoma nje ya inchi (ULAYA, ASIA au AMERICA) kwa scholarship ya 50-70% kwa program zote zenye ushindani ktk soko la ajira Duniani kwa ngazi ya DIPLOMA, DEGREE, MASTERS na PhD kwa muhula wa masomo wa mwaka 2020 (January - march intake)
K-WIN OVERSEAS EDUCATION tupo kwa ajili ya kutimiza ndoto zako kusoma katika vyuo bora na vyenye hadhi ya kimataifa vinayotambulika na TCU (grade A++ universities) Katika inchi za CHINA, UKRAINE, INDIA, CANADA, MALAYSIA, AUSTRALIA, SWEDEN, SINGAPORE, TURKEY na CYPRUS
PIA tunatoa ushauri kuhusu kozi nzuri za kusoma nje ya inchi zenye tija na ushindani katika soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma na degree kulingana na comb uliosoma na matokeo ya mwanafunzi husika.
Vilevile tunahusika kumsaidia mwanafunzi katika upatikanaji wa vitu vifuatavyo kwa urahisi zaidi
*PASSPORTS ya kusafiria
*VISA ya masomo ya inchi husika
*kumkatia TICKET ya ndege
*kuhakikisha ANASAFIRI na KUWASILI salama chuoni bila wasiwasi (airport pickup)
K-WIN OVERSEAS EDUCATION tunapatikana MWENGE katika jengo la MLIMAN TOWER mkabala na MLIMAN CITY MALL ghorofa ya 7 kwa maelezo na ufafanuzi wa kina wasiliana nasi kwa namba zetu zifuatazo 0719008009 /0767 805 690 au waweza kutu follow Instagram kwa k_win_overseas_univerities.
ELIMU BORA NI CHANZO CHA MAARIFA HIVYO KIJANA CHANGAMKIA FURSA HII MAPEMA USAILI UPO WAZI KARIBUNI SANA.
K**a una ndoto za kusoma nje ya inchi (Asia, ulaya au America) kwa scholarship ya 50-70% kwa program zote zenye ushindani ktk soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma, degree, masters na PhD kwa muhula wa masomo wa mwaka 2019/2020 (dec-march intake).
K-WIN OVERSEAS tupo kwa ajili ya ku kutimiza ndoto zako kusoma katika vyuo bora na vyenye hadhi ya kimataifa vinayotambulika na TCU (grade A+ universities) Katika inchi za China, Ukraine, India, Sweden, Singapore, Malaysia, Australia na Canada.
Pia tunatoa ushauri kuhusu kozi nzuri za kusoma pale zenye tija katika soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma na degree kulingana na comb uliosoma na matokeo ya mwanafunzi husika.
Vilevile tunahusika kumsaidia mwanafunzi katika upatikanaji wa vitu vifuatavyo kwa urahisi zaidi
*PASSPORTS ya kusafiria
*VISA ya masomo ya inchi husika
*kumkatia TICKET ya ndege
*kuhakikisha ANASAFIRI na KUWASILI salama chuoni bila wasiwasi (airport pickup)
K-WIN OVERSEAS tunapatikana MWENGE katika jengo la MLIMAN TOWER mkabala na MLIMAN CITY MALL katika floor no 7 au waweza wasiliana nasi kwa namba zetu zifuatazo 0719008009 /0767 805 690 pia waweza kutu follow Instagram kwa k_win_overseas_univerities.
USAILI UPO WAZI KARIBUNI SANA
K-WIN overseas education
We are dealing with recruitment of students who want to study abroad with scholarship (Asia, Europe and America) by assisting them with admission application process
07/12/2019
SCHOLARSHIPS ABROAD 50 - 70 %
K**a una ndoto za kusoma chuo kikuu inje ya inchi (ULAYA, ASIA na AMERICA) kwa scholarship ya 50-70%kwa program zote zenye ushindani ktk soko la ajira Duniani kwa ngazi DIPLOMA, DEGREE, MASTERS NA PHD kwa muhula wa masomo wa mwaka 2019/2020 (dec-march intake).
K-WIN OVERSEAS tupo kwa ajili ya ku kutimiza ndoto zako kusoma katika vyuo bora na vyenye hadhi ya kimataifa vinayotambulika na TCU (grade A+universities) Katika inchi za CHINA, UKRAINE, INDIA, MALAYSIA, CANADA, AUSTRALIA SWEDEN na GEORGIA kwa gharama nafuu bila kulipa service charges wala agents fee.
PIA tunatoa ushauri kuhusu kozi nzuri za kusoma nje ya inchi zenye tija na ushindani katika soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma na degree kulingana na matokeo ya mwanafunzi husika.
Vilevile tunahusika kumsaidia mwanafunzi katika upatikanaji wa vitu vifuatavyo kwa urahisi nakuwa wakati
*PASSPORTS ya kusafiria
*VISA ya masomo ya inchi husika
*kumkatia TICKET ya ndege
*kuhakikisha ANASAFIRI na KUWASILI salama chuoni bila wasiwasi (airport pickup)
K-WIN OVERSEAS tunapatikana MWENGE katika jengo la MLIMAN TOWER mkabala na MLIMAN CITY MALL katika floor no 7 au kwa maelezo zaidi na ufafanuzi wa kina zaidi wasiliana nasi kwa namba zetu zifuatazo 0719008009 /0767 805 690.
USAILI UPO WAZI KARIBUNI SANA.
K**a una ndoto za kusoma nje ya inchi kwa scholarship ya 50 - 70% kwa program zote zenye ushindani ktk soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma, degree, masters na PhD kwa muhula wa masomo wa mwaka 2019 /2020 (dec-march intake)
K-WIN OVERSEAS tupo kwa ajili ya ku kutimiza ndoto zako kusoma katika vyuo bora na vyenye hadhi ya kimataifa vinayotambulika na TCU (grade A universities)
Pia tunatoa ushauri kuhusu kozi nzuri za kusoma nje ya inchi zenye tija na ushindani katika soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma na degree kulingana na comb uliosoma na matokeo ya mwanafunzi husika.
K-WIN OVERSEAS pia tunahusika kumsaidia mwanafunzi katika upatikanaji wa vitu vifuatavyo kwa urahis Zaid
*PASSPORTS ya kusafiria
*VISA ya masomo ya inchi husika
*kumkatia TICKET ya ndege
*kuhakikisha ANASAFIRI na KUWASILI salama chuoni bila wasiwasi (airport pickup)
K-WIN OVERSEAS tunapatikana MWENGE katika jengo la MLIMAN TOWER mkabala na MLIMAN CITY MALL katika floor no 7 au wasiliana nasi kwa namba zetu zifuatazo 0719008009 pia waweza kutu follow Instagram kwa k_win_overseas_univerities.
KARIBUNI SANA
29/11/2019
K**a una ndoto za kusoma nje ya inchi kwa scholarship ya 50-70 % kwa program zote zenye ushindani ktk soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma, degree, masters na PhD kwa muhula wa masomo wa mwaka 2019 /2020 (Dec-January intake).
K-WIN OVERSEAS ni suruhisho la kutimiza ndoto zako katika vyuo bora vikuu bora na vyenye hadhi ya kimataifa vinayotambulika na TCU (grade A+ universities) Barani Asia, Europe na America.
Pia tunatoa ushauri kuhusu kozi nzuri za kusoma nje ya inchi zenye tija na ushindani katika soko la ajira kwa ngazi ya diploma na degree kulingana na comb uliosoma na matokeo ya mwanafunzi husika.
K-WIN OVERSEAS pia tunahusika kumsaidia mwanafunzi katika upatikanaji wa vitu vifuatavyo kwa urahis na muda muafaka
*PASSPORTS ya kusafiria
*VISA ya masomo ya inchi husika
*kumkatia TICKET ya ndege
*kuhakikisha ANASAFIRI na KUWASILI salama chuoni bila wasiwasi (airport pickup)
K-WIN OVERSEAS tunapatikana MWENGE katika jengo la MLIMAN TOWER mkabala na MLIMAN CITY MALL katika floor no 7 au wasiliana nasi kwa namba zetu zifuatazo 0719008009 /0767 805 690 pia waweza tu follow Instagram kwa k_win_overseas_univerities.
27/11/2019
K**a una ndoto za kusoma nje ya inchi (India, Ukraine, USA, Canada, Malaysia, Australia, Ukraine, china) kwa scholarship ya 50-70% kwa program zote zenye ushindani ktk soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma, degree, masters na PhD kwa muhula wa masomo wa mwaka 2019/2020 (Dec-January intake)
K-WIN OVERSEAS tunahusika katika kutimiza ndoto za mwanafunzi kwenda kusoma nje ya inchi katika vyuo bora vyenye hadhi ya kmataifa na vinayotambulika na TCU (grade A++universities)
Pia tunatoa ushauri kuhusu kozi nzuri za kusoma nje ya inchi zenye tija na ushindani katika soko la ajira Duniani kwa ngazi ya diploma na degree kulingana na comb uliosoma na matokeo ya mwanafunzi husika.
Pia tunahusika kumsaidia mwanafunzi katika upatikanaji wa vitu vifuatavyo
*PASSPORT ya kusafiria
*VISA ya masomo ya inchi husika
*kumkatia TICKET ya ndege
*kuhakikisha ANASAFIRI na KUWASILI salama chuoni bila wasiwasi (airport pickup)
K-WIN OVERSEAS tunapatikana MWENGE katika jengo la MLIMAN TOWER mkabala na MLIMAN CITY MALL katika floor no 7 au wasiliana nasi kwa namba zetu zifuatazo 0719008009 /0767 805 690 au waweza kutu follow Instagram kwa k_win_overseas_univerities.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 09:00 - 17:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |