ibungu_bar_loung

ibungu_bar_loung

Share

Bar and lounge

11/11/2024

Wikiend ndefu sana hiii embu fikiria kesho kutwa tarehe 14 tunaanza na ommy kichaaaaaa

Maelekezo yafwatweeeeeeeeeeeee ni ngoma juu ya ngoma
Banzi juuu ya Banziiii
Lala uje uadithiwe asumani zamu yako inakuja mkuu

09/11/2024

Yessss beba charge ugali na mboga utakutana nao ibungu

07/11/2024

Siku yetu pendwa ni leo yaaani hamna kupoa

Ukiimba vzr 50k mkononi

05/11/2024

Jumatano ya kesho tukutane jukwaani mabibo mwisho

27/09/2024

Mwaka mpyaa wa Burudani yunauwanza leo mapema sana na

27/09/2024

Jioni ya leo : tunaanza mwaka mpyaa wa burudani na X

09/09/2024

Ni jumatatu ya Rhumba leo hii ibungu mabibo

06/09/2024

Tunaendeleza pale tulipoishia ijumaa ilopita

Nikwambie tu hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Njoo utanishukuru baadae!!!!!

05/09/2024

Ni humu tuuuuuu save hii tarehe utakuja nishukuru

05/09/2024

Andika hii tarehe utakuja nishukuru

academia

30/08/2024


Leo kitawaka sana Mama kashaweka mzigo acount zimeshiba
Ni humuuu tuuuuuu!!!!

25/08/2024

Hellow sunday Hellow sunday

Tukutane mabibo mapema jioni ya leo
dj

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address


Mabibo
Dar Es Salaam
00000