20/03/2026
๐ KARIBU SHULE YA SEKONDARI AIRWING ๐
Shule ya Sekondari Airwing iliyopo Banana, Ukonga โ Dar es Salaam,
Inawatangazia nafasi za kujiunga na:
Kidato cha Tano (Form Five)
Kwa Kidato cha Tano tunatoa combination zifuatazo:
HGE (History, Geography, Economics)
EGM (Economics, Geography, Mathematics)
HKL (History, Kiswahili, Language)
CBG (Chemistry, Biology, Geography)
HGK (History, Geography, Kiswahili)
HGL (History, Geography, Language)
Tunatoa elimu bora yenye walimu wenye uzoefu
Maabara za kisasa kwa masomo ya sayansi
Mazingira safi na salama kwa kujifunzia
Nafasi za kuhamia kidato cha KWANZA, PILI na TATU zinapatikana
โฝ Michezo na vilabu vya kukuza vipaji
๐ Wasiliana nasi: 0784 764 070