31/05/2026
๐ฅ EAST EVAN COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (ECOHAS)
๐ Chuo kilichopo Dar es Salaam, Kigamboni kinakaribisha maombi ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya kwa muhula wa 2026/27.
๐ KOZI ZINAZOTOLEWA:
โ
Clinical Medicine
Sifa: Angalau D 4 ikiwemo Physics, Chemistry na Biology.
โ
Physiotherapy (Mkopo)
Sifa: Ufaulu wa C kwenye Chemistry, Biology na Physics.
โ
Pharmaceutical Science
Sifa: Angalau D 5 ikiwemo Chemistry, Biology, Physics, Mathematics na English Language.
โ
Health Records & Information Technology (Mkopo)
Sifa: Angalau D 5 ikiwemo Chemistry, Biology, Physics, Mathematics na English Language.
โ
Animal Health Production (Mkopo)
Sifa: Angalau D 4 ikiwemo masomo mawili kati ya Biology, Agriculture Sciences, Chemistry, Mathematics, Physics au Geography.
โ
Laboratory Assistant
Sifa: Angalau D 2 mbili au zaidi.
โ
Medical Laboratory Attendant
Sifa: Angalau D 2 mbili au zaidi.
โ
Community Development
Sifa: Angalau D 4 isipokuwa somo la Dini.
โ
Medical Attendant
Sifa: Angalau D 1 au zaidi.
๐ KWANINI UCHAGUE ECOHAS?
โ๏ธ Mazingira bora sana ya kujisomea na walimu waliobobea.
โ๏ธ Maabara za kisasa pamoja na hospitali za kufanyia mazoezi.
โ๏ธ Hosteli za kisasa za bure kwa wanafunzi.
โ๏ธ Ada nafuu sana na inalipwa kwa awamu nne.
โ๏ธ Fursa za mkopo kwa baadhi ya kozi zilizoorodheshwa.
๐ Kigamboni, Dar es Salaam
๐ฅ๏ธ FANYA MAOMBI ONLINE SASA!
Tuma maombi yako na timu yetu itawasiliana nawe kwa hatua zinazofuata hapa: https://eastevancollege.safitech.co.tz/