19/08/2026
chakula cha mtoto simple na kitamu sanaa
hebu tuambie kwenye comment mtoto wako anakula nini siku ya leo tukupe ratiba nzuri ya siku ya kesho,usisahau kuandika umri wake ili tukupe kilicho sahihi 😋😋