28/08/2022
UNACHELEWA WAPI MWALIMU, MZAZI, MWANAFUNZI, WAKUU WA SHULE NA WAKURUGENZI? PATA HUDUMA ZIFIATAZO:-
1. Kujua shule nzuri ya kumpeleka mwanao Tanzania nzima.
2. Kupata wanafunzi kujiunga na shule yako.
3. Mwalimu kujua jinsi ya kushiriki usahili hadi kupata kazi.
4. Mwalimu kupata mbinu za kupata kazi.
5. Mwalimu kuboresha kazi yako kwa kupitia semina zetu.
6. Mzazi mlete mwanao uliyekata tamaa juu yake kuhusu masomo yake.
7. We uliyemaliza chuo kikuu bado unatembea na bahasha kutafuta kazi.
8. Mkurugenzi, meneja shule za binafsi unayetaka internal quality assurance service.
9. Walimu mnaotaka kufundisha masomo ya ziada.
10. Wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na wanahitaji kuendelea ila mnakutana na changamoto.
11. Watu wazima mnaohitaji kujua kusoma, kuhesabu na kuadika kiswahili.
12. Wanaohitaji kujua au kujua zaidi kuongea lugha ya kiingereza.
Piga namba 0742 30 83 39 au 0628 824182