11/04/2022
Je, mtoto wako ana miaka 0 hadi 5?
Karibu sana katika shule yetu na kituo cha malezi kwa Elimu Bora na Malezi Bora!
°°°°°°
Tunaanza Awamu ya Pili ya Masomo [APRIL - JULY] ifikapo Jumanne, 19 April 2022.
°°°°°°
Tuwasiliane: 0715 61 61 91 au 0679 22 33 10 au 0782 32 60 00
°°°°°°
Watu wote mnakaribishwa Sana!