Kupata ambacho huna, kuwa ambaye hujawahi kuwa.
somavitabutz
Karibu.
Tunakusaidia Kuboresha Maisha Yako na kuongeza thamani Yako Kwa kukupa Vitabu Vizuri Vitakavyo Kujenga Kiakili, Kiroho na Kimwili, Hivyo Utarudisha Tabasamu Lako Ndani ya Mda Mfupi Tu!...
19/02/2024
Fanya ili kufanikiwa na siyo kufanya ili kuonekana au kuwafurahisha wengine.
16/02/2024
Kupata unachotaka, lazima ukitake hasa na kukipambania.
13/02/2024
Kizazi cha kwanza kinajenga utajiri.
Kizazi cha pili kinatunza utajiri.
Kizazi cha tatu kinapoteza utajiri.
Kizazi cha nne kinaanzia kwenye umasikini.
Kuepuka mzunguko huu, chukua hatua kwa kujifunza hapa;
#ONK-044; Epuka Mzunguko Huu Wa Utajiri Na Umasikini. Kwenye mataifa, jamii na hata mtu mmoja mmoja huwa kuna mzunguko wa utajiri na umasikini ambao umekuwa unajirudia. Mzunguko huo unaanza na umasikini, ambapo ...
12/02/2024
‘Sanuka’ Na Haya Maujanja Yanayokupita!!
Rafiki,
Kila zama huwa zina ujanja wake.
Kwenye zama za kilimo, ujanja ilikuwa ni kumiliki mashamba.
Kwenye zama za chuma, wajanja walikuwa ni wafuaji.
Kwenye zama za viwanda, ujanja ilikuwa ni kumiliki viwanda.
Na sasa tupo kwenye zama za maarifa na taarifa.
Unajua ujanja wa zama hizi ni upi?
Acha ‘nikusanue’,
Ujanja wa zama hizi ni kuwa mjasiriamali.
Lakini siyo ule ujasiriamali unaousikia mtaani,
Bali ni ujasiriamali wa kijanja.
Jambo la msingi sana, ni wewe pia uwe mjanja.
Na hapa ndipo nina habari njema sana kwako.
Kitabu cha MJASIRIAMALI MJANJA kitakujenga wewe,
Kitakupa maarifa sahihi na hatua za wewe kuchukua,
Ambapo ukifanyia kazi hayo, kwa hakika utakuwa mjanja wa zama hizi.
Usikubali kuendelea kuwa ‘zoba’ wakati wenzako wananufaika na haya maujanja.
Tuwasiliane sasa kwa namba 0678 977 007 au 0752 977 170 na ukapata kitabu chako leo.
Wajanja wote wamesoma kitabu cha MJASIRIAMALI MJANJA na wamenufaika, chukua hatua sasa.
04/01/2024
04/01/2024
ATTENTION; Yamebaki Masaa Manne (4) Tu! Ofa Kuisha.
Anyway Mathayo Ameshaanza Kusoma Kitabu Chake Kizuri Cha MTAALA WA UTAJIRI.
Kuungana na Mathayo, Tuma Meseji Inayosomeka *NGUVU YA BUKU*
Kwenda Namba 0752977170.
Karibu.
Kumbuka Yamebaki Masaa Manne (4) Tu Ofa Kuisha.
Bei ni Elfu 30 Tu! Badala ya Elfu 50 Nzima.
Okoa Elfu 20 Nzima.
04/01/2024
Inapokuja kwenye kujenga utajiri wengi wamekuwa wakulima ambao wamekosa werevu.
Wengi wamekuwa wakulima ambao hawafikiri mara mbili kula mbegu zao. Halafu wanakuwa wanashangaa kwa nini wanashindwa kupiga hatua majibu yapo wazi wamekuwa wanakula mbegu kwa maisha yao yote.
Kujenga utajiri kwa mtu yeyote ambaye ataishi kwa umri wa kawaida wa watu kuishi yaani zaidi ya maka 60 na akawa hajatengeneza utajiri kwenye maisha yake, tatizo siyo kwa sababu ya udogo wa kipato chake wala magumu anayokuwa ameyapitia , bali kwa sababu moja tu, amekuwa anakula mbegu kwa maisha yake yote.
Anyway leo ndio siku ya mwisho wa kujiunga na program ya *NGUVU YA BUKU* Sharti la Lazima; Ni lazima uwe na kitabu cha *MTAALA WA UTAJIRI*
Na k**a bado hujakipata, piga simu sasahivi namba ni 0752 977 170. Uletewe au utumiwe popote ulipo ndani ya Afrika Mashariki.
Bei ya Kitabu ni Elfu 50 Lakini Kwasababu Leo Ndio Mwisho Wa Kujiunga na Programu Ya *NGUVU YA BUKU*
Saba (7) Wa Mwanzo Watakipata Kwa Elfu 30.
Mwisho ni Saa Sita (6) Kamili Usiku. Kumbuka Leo Ndio Mwisho.
03/01/2024
K**a mpaka sasa bado hujak**ata nakala yako ya hiki kitabu, tayari umeshazingua 2024.
K**a hutaki kuupoteza huu mwaka, chukua hatua sasa kupata nakala yako.
Kwa Mfano Ukipiga Simu Sasahivi Kwenda 0752 977 170.
Utaletewa au Utatumiwe Popote Ulipo.
Karibu.
03/01/2024
*Wateja Wengi Wanahitaji Msisitizo Ndiyo Waweze Kununua, Hivyo Mteja Anapokuahidi Chochote, Fuatilia K**a Alivyokuahidi*
Hii Utaikuta Sura Ya 4 Ya Kitabu Hiki Cha *MAUZO NI MCHEZO WA NAMBA*
K**a Unacho Nenda Moja Kwa Moja Kwenye Sura Ya 4,
Na K**a Hauna Usiwe na Wasiwasi,
Piga Simu au Tuma Meseji Kwenda *0752 977 170*
Na Nitakupa Utaratibu Wa Kukipata.
Kumbuka Bado ni Tshs 19,999Tu Badala Ya Elfu 30 Nzima.
Okoa Elfu 10 Nzima.
Wahi Kuweka Oda Yako Mapema Kabla Havijaisha. Ni Hapa 0752 977 170. Karibu.
03/01/2024
K**a Unataka Kujifunza Zaidi Kuhusu Somo Hili Basi Nenda Moja Kwa Moja Kwenye Hatua Ya 10 Ya Kitabu Hiki Cha MTAALA WA UTAJIRI.
Lakini K**a Hauna Usiwe na Wasiwasi,
Piga Simu au Tuma Meseji Kwenda *0752 977 170*
Na Nitakupa Utaratibu Mzima Wa Kukipata.
Wahi Kuweka Oda Yako Mapema Kabla Havijaisha.
Ni Hapa 0752 977 170. Karibu.
03/01/2024
*Unachokisahau*
Rafiki yangu japokuwa utaweka malengo na mipango mikubwa na mizuri sana kwenye maisha yako,
.. lakini k**a utakosa nidhamu ni kazi bure.
Moja ya vitu ambavyo umekuwa ukisisitizwa sana kwenye safari hii ya mafanikio makubwa ni NIDHAMU.
Ambapo ni kufanya ulichopanga kufanya, bila ya kuruhusu kitu chochote kikuzuie katika kufanya ulichopanga.
Ukweli ni kwamba bila kufanya ulichopanga kufanya bila ya kuacha , huwezi kutoboa.
Wapo watu wakisikia NIDHAMU wanaifikiria ile nidhamu ya kuonekana unanidhamu, hapa hatuzungumzii nidhamu hiyo.
Kwasababu nidhamu hiyo haiwezi kukupa mafanikio makubwa.
Hapa tunazungumzia nidhamu binafsi na nidhamu ya muda.
Na kwasababu umekuwa mtu makini na mwenye kujali sana mafanikio yako.
Tafadhali fungua ukurasa wa 40 ukajifunze kwa muda wako ukiwa umepumzika.
Kitabu ni *MTAALA WA UTAJIRI*.
K**a bado hujaletewa Karibu nikusaidie ni hapa *https://wa.link/v0smop*
Piga Simu 0752 977 170.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the school
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam