Goodluck Urasa

Goodluck Urasa Associate Professor

21/03/2026
Michezo ya watoto itakuwepo msiwaache nyumbani
08/10/2025

Michezo ya watoto itakuwepo msiwaache nyumbani

Karibu ushiriki tukio kubwa la EFL Bonanza litakalofanyika tarehe 18/10/2025 katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Da...
08/10/2025

Karibu ushiriki tukio kubwa la EFL Bonanza litakalofanyika tarehe 18/10/2025 katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Dasalaam kuanzia saa 12 asubuhi. Tukio hili ni la kipekee kwa sababu litakuwa na michezo mingi ya watu wazima na watoto, litakutanisha na kuunganisha watu wa aina mbalimbali na litatoa nafasi ya mfanyabiashara au taasisi yeyote kuonyesha bidhaa zake na huduma mbalimbali. Kikubwa zaidi ushiriki wa michezo na maonyesho ya bidhaa na huduma zenu ni bure. Michezo itakayokuwepo ni k**a ifuatavyo:
1. Fun Run - 5KM na 10KM k**a routes zinavyoonyesha.
2. Mchezo wa mpira (football, volleyball, basket ball & netball)
3. Mazoezi ya viungo (aerobics)
4. Michezo ya watoto (jumping castle, mpira wa miguu, kuogelea, Fun Run na michezo mingine)
5. Kuendesha farasi na ngamia
6. Mashindano ya kuogelea.

Tutakuwa na trainers mbalimbali katika michezo yote wakiongozwa na mkongwe Andrew Mangomango.

Tutatoa nafasi kwenye tents kwa ajili ya maonyesho ya bidhaa na huduma mbalimbali, na k**a utahitaji nafasi piga namba zilizopo kwenye tangazo.

"Karibuni Sana Tuweke Afya Zetu Vizuri na Tuwajengee Watoto Tabia ya Kufanya Mazoezi"

Kujiandikisha bonyeza link hii au piga namba zetu: https://efl.co.tz/efl-sports-bonanza-2025/

"Mission Possible"Happy Customer Service Week 2025
06/10/2025

"Mission Possible"
Happy Customer Service Week 2025

"Mission Possible" Happy Customer Service Week 2025
06/10/2025

"Mission Possible"
Happy Customer Service Week 2025

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255714301950

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goodluck Urasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Goodluck Urasa:

Shortcuts

Share

Category