Darasa-Tujiajiri na madam Toppie

Darasa-Tujiajiri na madam Toppie Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Darasa-Tujiajiri na madam Toppie, Education, Dar es Salaam.

Habari njema kwa wanaopenda kujifunza kutengeneza mawigi na vibanio vya Rasta Aina mbalimbali..Darasa letu linakuletea m...
23/05/2020

Habari njema kwa wanaopenda kujifunza kutengeneza mawigi na vibanio vya Rasta Aina mbalimbali..Darasa letu linakuletea mafunzo hayo kwa njia ya what's app..Lini tutaanza..?utapata update hapa hapa kwenye page yetu.

Offer ya mafunzo!!Tumekuandalia offer ya mafunzo ya ujasiliamali bure msimu huu was Corona.. Watu zaidi ya 600 wanaendel...
22/05/2020

Offer ya mafunzo!!
Tumekuandalia offer ya mafunzo ya ujasiliamali bure msimu huu was Corona.. Watu zaidi ya 600 wanaendelea na mafunzo hayo ya ujasiliamali..Tembelea page yetu hi kupata updates za mafunzo..
Mafunzo yanatolewa Ni:-
1.Kushona mazulia Aina 3
2.Kupamba chupa Aina 3
3.Kushona foronya na mashuka Aina tatu.
Hayo Ni mafunzo ya awali ambayo utayapata bure msimu huu.. karibu ujiajiri

Karibu katika page yetu ya Darasa-Tujiajiri na madam Toppie..Page hii itakupa muongozo wa darasa la mafunzo ya ujasiliam...
22/05/2020

Karibu katika page yetu ya Darasa-Tujiajiri na madam Toppie..Page hii itakupa muongozo wa darasa la mafunzo ya ujasiliamali aina mbalimbali.. Mafunzo yetu hutolewa kwa what's app na yamesaidia kuajiri vijana wengi..Karibu ujifunze.. karibu ujiajiri

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Darasa-Tujiajiri na madam Toppie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category