Dive Talents Training Centre

Dive Talents Training Centre Namba: 0784850300 (Call & Whatsapp)
(1)

Tunatoa mafunzo ya ujuzi wa KUJIAJIRI
📌COMPUTER
📌GRAPHIC DESIGN
📌USUSI
📌MAKE UP
📌USHONAJI
📌DIGITAL MARKETING & AI
Tupo Mbezi Mwisho - Mazulu, Barabara ya kuelekea Goba.

02/09/2026

Watch, follow, and discover more trending content.

31/08/2026
30/08/2026

Darasa la Graphic Design kwa vitendo linaanza tarehe 07/09/2026.

Hili ni kwa wale wote wanaotamani kujifunza ujuzi huu katika angle kubwa k**a vile printing, Branding, Logo Design, Social Media Marketing, nk.

Tupigie/Whatsapp: 0784850300/ 0789943666

29/08/2026

Wengi wanapojiwekea malengo ya mwaka, huwa wanatazamia zaidi kutengeneza cash, kiwango fulani cha pesa na kuitumia pesa hiyo kutekeleza ndoto zao.

Ndoto k**a vile Kujenga nyumba, kununua kiwanja, kufungua biashara, nk.
Hizi ni ndoto ambazo kiukweli hatuwezi kuzitimiza bila cash.

Lakini pia ni muhimu kuzingatia kuwa, wakati tunaifikiria pesa, inafaa tufikirie nyenzo maalumu ambazo tunaweza kuzitumia kuishika pesa hiyo.

Nyenzo muhimu na isiyoepukika ili uweze kupata pesa kwa uhakika ni ujuzi, hapa siongelei tu ujuzi ilimradi bali naongelea ujuzi unaohitajika zaidi katika jamii.

Kupitia ujuzi unaweza kutatua matatizo ya watu na wao wakakulipa pesa nzuri na ukaitumia pesa hiyo kufikia malengo.

Dive Talents Training Center, tunakuletea kozi maalumu zinazohitajika zaidi.

Kozi hizi zote zinakupa uhakika wa kuajiriwa na kujiajiri. Lakini pia kozi hizi ni za muda mfupi na hazina masharti makubwa ya kujiunga.

Karibu k**a upo Interested au una swali lolote.
Piga/Whatsapp: 0784850300/ 0789943666

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dive Talents Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share