13/05/2026
Soko la ajira duniani linaendelea kubadilika kutokana na ukuaji wa teknolojia k**a AI, Data Science, Cyber Security na Computer Science.
Kwa sasa, companies nyingi zinahitaji vijana wenye ujuzi unaoendana na mahitaji ya dunia ya leo na kesho. Changamoto ni kwamba baadhi ya kozi hizi bado hazipatikani kwa kiwango kikubwa hapa Nchini.
Kupitia KASA, tunasaidia wanafunzi kupata nafasi za kusoma kozi za kisasa katika vyuo bora nje ya nchi ๐๐
Usichague course kwa kuangalia leo angalia pia future ya career yako.
๐ฉ DM us au Call/WhatsApp: +255 746 050 546
๐kasa.co.tz