Moonlight open school

Moonlight open school Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Moonlight open school, Education, Ubungo, Dar es Salaam.

" A Different Approach to Education" ๐Ÿ“š
๐ŸŽ“ Fursa ya pili ya kimasomo.
๐Ÿ“ Mbeya Mjini & Songwe
๐Ÿ“ž 0747660199
๐Ÿ‘‡ Gusa https://whatsapp.com/channel/0029Vb8gcvO5Ui2VbKJVKV1M

20/07/2026

OHM'S LAW IN ACTION! ๐Ÿ”ฌ

โ€‹Hivi umewahi kujiuliza kwanini Voltage ikiongezeka, Current nayo huongezeka kwenye mzunguko wa umeme (circuit)?

โ€‹Kwenye video hii, tuna-verify Kanuni ya Ohm (V = IR) kwa kitendo tukiwa maabara!
โ€‹Swali la leo kwa wanafunzi wa Physics:

Je, ni sababu gani kuu inayoweza kufanya matokeo ya experiment hii yasifuate Ohm's Law kikamilifu (errors)?

โ€‹A) Temperature kubadilika
B) Kutumia wire ndefu sana
C) Kutumia switch ya chuma

โ€‹๐Ÿ’ฌ Dondosha jibu lako kwenye comments hapo chini tuone nani kasoma vizuri!๐Ÿ‘‡

โ€‹. Moonlight Open School โ€” Tunarahisisha Sayansi kwa Vitendo!

๐Ÿ“ฅ DM au Piga: [0747660199] kujiunga na madarasa yetu ya Physics ONLINE

NDOTO YAKO YA KUFAULU HAJAFA, NI MUDA WA KUSIMAMA TENA! ๐Ÿ’ช๐Ÿ“šโ€‹Je, unajiandaa kufanya mtihani wa Kidato cha Nne au cha Sita ...
06/07/2026

NDOTO YAKO YA KUFAULU HAJAFA, NI MUDA WA KUSIMAMA TENA! ๐Ÿ’ช๐Ÿ“š

โ€‹Je, unajiandaa kufanya mtihani wa Kidato cha Nne au cha Sita k**a Private Candidate? Au unataka kufanya Qualifying Test (QT)? Huna sababu ya kusoma kwa kubahatisha tena!

โ€‹Tumefungua Channel maalum ya WhatsApp itakayokuwa dira yako kuelekea mafanikio yako ya NECTA.

Humu utapata mwongozo wa masomo yote, siri za kufuta "F", na mbinu rahisi za kuelewa mada ngumu (hata k**a upo kazini au una majukumu mengine) na vipindi vya darasani kwa njia ya recorded na live video.....

โ€‹Jiunge sasa bure kabisa kupitia link hii:
๐Ÿ‘‰ https://whatsapp.com/channel/0029Vb8gcvO5Ui2VbKJVKV1M

"Walisema Private Candidates (PC) hawawezi kufaulu masomo ya Sayansi... Tukawaambia SIKILIZENI MOONLIGHT!" ๐Ÿ”ฅโ€‹Leo tunafut...
06/07/2026

"Walisema Private Candidates (PC) hawawezi kufaulu masomo ya Sayansi... Tukawaambia SIKILIZENI MOONLIGHT!" ๐Ÿ”ฅ
โ€‹Leo tunafuta ile dhana ya kizamani kwamba ukiwa PC basi Sayansi basi. Angalia matokeo haya ya NECTA 2026:

Irene Thomas Kamugisha โ€” Division I ya Point 8! (Physics 'C', Chemistry 'B', Biology 'C'). Dr. Irene huyo anenda kuanza safari ya Udaktari! ๐Ÿฉบ๐Ÿ”ฌ

โญ Anna L. Kashaija โ€” Chemistry 'C', Biology 'C'
โญ Omary M. Utukufu โ€” Chemistry 'C', Physics 'D'
โ€‹Hapa sio tu tunasomesha, tunatengeneza madaktari na wanasayansi wa kesho bila kujali ulianzia wapi. Hakuna kinachoshindikana ukiwa mahali sahihi na walimu sahihi.

โ€‹Hebu dondosha "HONGERA" yako hapa chini kuwapongeza mashujaa wetu hawa kwa kupambana na kushinda! ๐Ÿ‘‡๐ŸŽ‰

"Walisema Private Candidates (PC) hawawezi kufaulu masomo ya Sayansi... Tukawaambia SIKILIZENI MOONLIGHT!" ๐Ÿคซ๐Ÿ”ฅโ€‹Leo tunafu...
06/07/2026

"Walisema Private Candidates (PC) hawawezi kufaulu masomo ya Sayansi... Tukawaambia SIKILIZENI MOONLIGHT!" ๐Ÿคซ๐Ÿ”ฅ
โ€‹Leo tunafuta ile dhana ya kizamani kwamba ukiwa PC basi Sayansi basi. Angalia matokeo haya ya NECTA 2026:
โญ Irene Thomas Kamugisha โ€” Division I ya Point 8! (Physics 'C', Chemistry 'B', Biology 'C'). Dr. Irene huyo anenda kuanza safari ya Udaktari! ๐Ÿฉบ๐Ÿ”ฌ
โญ Anna L. Kashaija โ€” Chemistry 'C', Biology 'C'
โญ Omary M. Utukufu โ€” Chemistry 'C', Physics 'D'
โ€‹Hapa sio tu tunasomesha, tunatengeneza madaktari na wanasayansi wa kesho bila kujali ulianzia wapi. Hakuna kinachoshindikana ukiwa mahali sahihi na walimu sahihi.

โ€‹Hebu dondosha "HONGERA" yako hapa chini kuwapongeza mashujaa wetu hawa kwa kupambana na kushinda! ๐Ÿ‘‡๐ŸŽ‰

๐Ÿ”” KUELEKEA SIKU YENYEWE: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU 2026! ๐Ÿ””โ€‹Safari ya usiku kucha na jasho la darasani sasa kw...
04/07/2026

๐Ÿ”” KUELEKEA SIKU YENYEWE: MATOKEO YA KIDATO CHA SITA NA UALIMU 2026! ๐Ÿ””

โ€‹Safari ya usiku kucha na jasho la darasani sasa kwenda kuzaa matunda!

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linatangaza rasmi matokeo ya ACSEE na Ualimu tarehe 06 Julai, 2026 kuanzia saa 5:00 asubuhi.

โ€‹Hii ni zamu yetu kuona matunda ya kazi ngumu. Tunawatakia kila la heri vijana wetu wote nchi nzima! ๐Ÿ‘

โ€‹๐Ÿ“Œ Je, una mpango wa kuboresha masomo yako au kujiandaa na safari ya chuo kikuu baada ya hapa? Moonlight Open School tuko hapa kwa ajili yako kukusaidia kufikia malengo yako ya kitaaluma.

โ€‹๐Ÿ“บ Usikose kufuatilia mkutano huu mubashara kupitia YouTube channel ya 'Necta online' k**a inavyoonekana kwenye picha.

โ€‹

Huwa unapanga kumtuma mtu akuchukulie cheti chako cha NECTA shuleni? Baraza la Mitihani (NECTA) linatukumbusha kuwa sher...
12/06/2026

Huwa unapanga kumtuma mtu akuchukulie cheti chako cha NECTA shuleni? Baraza la Mitihani (NECTA) linatukumbusha kuwa sheria ni ile ile: Mhusika mwenyewe anapaswa kufika!
โ€‹Tag rafiki yako hapa chini ambaye bado hajachukua cheti chake na alikuwa anafikiria kumtuma mtu mwingine amsaidie! ๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚
โ€‹

TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU NA WAZAZI โ€‹Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetanga...
28/05/2026

TAARIFA MUHIMU KWA WAHITIMU NA WAZAZI

โ€‹Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) limetangaza rasmi kufunguliwa kwa dirisha la udahili kwa ngazi ya Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kuanzia leo, tarehe 28 Mei, 2026.

24/05/2026
๐ŸŽ“ FAHAMU MFUMO WA POINTI ZA NECTA! ๐Ÿ“šJe, unajua pointi zako zinaamua daraja lako la ufaulu?Hapa tumekuandalia mwongozo ra...
14/05/2026

๐ŸŽ“ FAHAMU MFUMO WA POINTI ZA NECTA! ๐Ÿ“š

Je, unajua pointi zako zinaamua daraja lako la ufaulu?

Hapa tumekuandalia mwongozo rahisi wa kuelewa madaraja ya Kidato cha Nne (CSEE) na Kidato cha Sita (ACSEE) kulingana na mfumo wa NECTA. โœ…

๐Ÿ“Œ Kwa wanafunzi:

Tambua ulipo na ujipange kufika juu zaidi! ๐Ÿ’ช

๐Ÿ“Œ Kwa wazazi:
Msaidie mwanao kuelewa namna ufaulu unavyopimwa na umuhimu wa kuongeza juhudi kwenye masomo.

๐Ÿ† Kumbuka:

โ€œPointi chache = ufaulu mkubwa zaidi.โ€

๐Ÿ”ฅ Endelea kutufuatilia kwa taarifa sahihi za elimu, ushauri wa masomo na mbinu za kufaulu mitihani.

Address

Ubungo
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Moonlight open school posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category