pci.tanzania

pci.tanzania Competence-based Creative Training Institute Aimed at Developing Talents

Hizi ni baadhi ya projects za wanafunzi wetu baada ya mafunzo ya miezi 3 tu hapa K**a wao wameweza ndani ya miezi 3 wewe...
03/06/2026

Hizi ni baadhi ya projects za wanafunzi wetu baada ya mafunzo ya miezi 3 tu hapa

K**a wao wameweza ndani ya miezi 3 wewe unasubiri nini?

Sasa ni zamu yako kuanza safari yako ya ubunifu wa mavazi na ushonaji kwa vitendo zaidi

Bado tunaendelea kupokea wanafunzi wa MAY INTAKE katika ngazi zote 3:
✔️ Beginner
✔️ Intermediate
✔️ Masterclass

📌 Fomu za kujiunga zinapatikana Chuoni Kijitonyama, nyuma ya Kanisa la KKKT au WhatsApp: 0718 731 438

NB: Hostel zipo

📍 Kijitonyama – Dar es Salaam
📞 0718 731 438

25/05/2026
UPO BIZE ASUBUHI MPAKA MCHANA? HII NI NAFASI YAKO!Kwa wale wanaofanya kazi, wana biashara au wenye majukumu mengi mchana...
25/05/2026

UPO BIZE ASUBUHI MPAKA MCHANA? HII NI NAFASI YAKO!

Kwa wale wanaofanya kazi, wana biashara au wenye majukumu mengi mchana sasa unaweza kujifunza kushona bila kuathiri ratiba yako

tunakuletea DARASA LA JIONI lenye muda rafiki kwa watu busy wanaotaka kuongeza ujuzi na kujitengenezea kipato cha ziada.

🕚 Muda wa masomo:
Saa 11.00 Jioni – Saa 1.00 Usiku

✅ Ushonaji wa kisasa kwa vitendo
✅ Kutengeneza mavazi ya viwango
✅ Mbinu za kujiajiri kupitia ushonaji
✅ Ujuzi unaotafutwa sokoni

💰Ada: Tsh 300,000/- kwa mwezi

Masomo yanaanza 15/06/2025

📍 Kijitonyama, Dar es Salaam
📞 0718731438

Usiruhusu ubize wa mchana ukuzuie kutimiza ndoto zako.

Jisajili sasa na anza safari ya mafanikio

Address

Kijitonyama
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 19:00
Friday 09:00 - 19:00

Telephone

+255718731438

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when pci.tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category