kilakona_schools

kilakona_schools Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from kilakona_schools, Education, Sinza Mapambano, Sinza, Dar es Salaam.

Based in Dar es Salaam, Tanzania, KILAKONA LIMITED is a trusted bulk SMS service provider that helps Local and Regional businesses engage their customers effortlessly and affordably.

KARIBU SANA
13/07/2026

KARIBU SANA

GET CONNECTED NOW
13/07/2026

GET CONNECTED NOW

03/07/2026

Based in Dar es Salaam, Tanzania, KILAKONA LIMITED is a trusted bulk SMS service provider that helps Local and Regional businesses engage their customers effortlessly and affordably.

Kilakona Schools  tunatambua urithi mkubwa mzazi anaweza akampa mwanae ni Elimu tena elimu bora.Ndo maana kila mzazi huf...
04/03/2020

Kilakona Schools tunatambua urithi mkubwa mzazi anaweza akampa mwanae ni Elimu tena elimu bora.
Ndo maana kila mzazi hufurahi mwanae anapokua na maendeleo mazuri shuleni maana hiyo humpa uhakika wa kesho njema kwa mwanae.

tunataka mzazi utabasamu na mwanao kutokana na taarifa njema za maendeleo yake ya shule.

Tunayo system nzuri ya kiteknolojia ambayo tunahakika itaweka tabasamu kwa mtoto na mzazi pia.

Tupigie kwa #0623952938 tuzungumze au tu .

Upo msemo unaosema “ukimuelimisha mwanamke umeelimisha dunia nzima “Msemo huu ni kweli na haupingiki...maana mwanamke am...
04/03/2020

Upo msemo unaosema “ukimuelimisha mwanamke umeelimisha dunia nzima “

Msemo huu ni kweli na haupingiki...maana mwanamke ambae ndie mama baadae,huwa ndio mwalimu wa kwanza kwa mwanae ama mwanafunzi maana mwanafunzi atakulia kwanza mikononi mwa mama k**a mtoto kabla ya kwenda kua mwanafunzi shuleni.

Mtoto wa k**e anahitaji elimu ya darasani ndio ila pia anahitaji sana elimu dunia ambayo hiyo itampatia nidhamu katika elimu yake ya darasani na akaweza kufikia malengo yake.

Clouds media group tunawapongeza sana sana maana wamelitambua hili na wakaanzisha program ya wakishirikiana na mh. na inayomlenga sana mtoto wa k**e wakimpa elimu dunia juu ya kupotezea ngono na tamaa mbalimbali wakati wakiwa bado wako shuleni.

Wameweza kuwafikia wasichana wengi kwa ziara zao za kwenda mashuleni,
Tunawapongeza kwa hilo. @ Dar es Salaam, Tanzania

02/03/2020

we got you all covered.
Call us 0623952938 we will be happy explaining it to you.
or visit our Instagram page for more.

Kila mwenye kujua umuhimu wa elimu haachi kuzifurahia na kuziunga mkono kila shughuli za kuboresha elimu ya Tanzania.Mba...
28/02/2020

Kila mwenye kujua umuhimu wa elimu haachi kuzifurahia na kuziunga mkono kila shughuli za kuboresha elimu ya Tanzania.

Mbali na serikali yetu hasa wizara ya elimu,wako watu mbalimbali wenye kujitoa katika shughuli za kielimu wakiungana na serikali na kuifikisha elimu kwa walengwa na katika ile sura wanayoitazamia kufika.

Mmoja wapo ni na taasisi yake ya na hapo katika ni wakati kahudhuria Shughuli ya usambazaji wa vitabu kwa lugha ya kiingereza na nukta nundu kwajili ya wanafunzi vipofu.

Tunampongeza sana kwa moyo huo.

#0623952938

Address

Sinza Mapambano, Sinza
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 10:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kilakona_schools posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category