Changamka mwanamke Foundation

Changamka mwanamke Foundation Non- profit organization

20/01/2022
17/08/2021

Tunafanya usafi kwa bei Poa

Siku ya Trh 29.6.2021 kikao cha kwanza na Changamka Mwanamke founder's kilifanyika na kutoa maamuzi.Tunashukuru Mungu kw...
30/06/2021

Siku ya Trh 29.6.2021 kikao cha kwanza na Changamka Mwanamke founder's kilifanyika na kutoa maamuzi.
Tunashukuru Mungu kwa hatua nyingine.
Jamila,Mary, Jesca,Prisca,Everline,Maria with our champion Bakilana

22/06/2021
Kikundi cha Wajane ukonga Changamka Mwanamke ilipata nafasi ya kwenda kuwatembelea na kuwakabidhi mtaji, mafunzo na vite...
16/06/2021

Kikundi cha Wajane ukonga Changamka Mwanamke ilipata nafasi ya kwenda kuwatembelea na kuwakabidhi mtaji, mafunzo na vitendea kazi. Tunawashukuru sana wanaukonga

changamka Mwanamke wa nguvu Mh Mwenyekiti UWT mkoa wa njombe ni mmoja wa wanachama changamka mwanamke mwenye ndoto za ku...
16/06/2021

changamka Mwanamke wa nguvu Mh Mwenyekiti UWT mkoa wa njombe ni mmoja wa wanachama changamka mwanamke mwenye ndoto za kusaidia wanawake na mabinti

Chuo kipo Station Clocktower mtaa wa Nkurumah Dar es salaam
06/05/2021

Chuo kipo Station Clocktower mtaa wa Nkurumah Dar es salaam

Hakika ulikuwa mume kwetu,ulikuwa Baba kwetu, ulikuwa mwalimu kwetu....wewe ni chanzo cha mafanikio yetuNenda salama Bab...
19/03/2021

Hakika ulikuwa mume kwetu,ulikuwa Baba kwetu, ulikuwa mwalimu kwetu....wewe ni chanzo cha mafanikio yetu
Nenda salama Baba
Pumzika kwa amani

17/03/2021

Kazi inaendelea jaman sifa kwa Mungu imani yao kubwa ni kwako ww Mungu wangu

Darasa limeendelea vzr sana wamama hawa wameamua kuvua samaki....
17/03/2021

Darasa limeendelea vzr sana wamama hawa wameamua kuvua samaki....

15/03/2021

Changamka Mwanamke wajane wakipatiwa maafunzo kwa vitendo

Mapema leo Jema Training Institute ikitoa mafunzo kwa changamka Mwanamke ambapo k**a mtakumbuka Changamka Mwanamke iliwa...
15/03/2021

Mapema leo Jema Training Institute ikitoa mafunzo kwa changamka Mwanamke ambapo k**a mtakumbuka Changamka Mwanamke iliwapa mtaji hivyo kwa umoja wao waliamua kutumia mtaji huo kuzalisha sabuni nasi Jema Training Institute tulijitolea kufundisha bure mafunzo haya ili watimize ndoto zao za kuwa na mradi wa chama.
Umoja ni nguvu wamama wanataka nyavu wakavue samaki.....

Address

Tabata Kinyerezi Karibu Na Ofisi Za Kata
Dar Es Salaam

Telephone

0717021631

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Changamka mwanamke Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category