Sheria Poa

Sheria Poa Sheria Poa ni NGO inayojishughulisha na utoaji wa elimu na msaada wa kisheria kwa jamii.

Kuelekea siku ya Wanawake duniani tunawakaribisha wadau wote kwenye viwanja vya Leaders club katika kutoa huduma ya msaa...
07/03/2025

Kuelekea siku ya Wanawake duniani tunawakaribisha wadau wote kwenye viwanja vya Leaders club katika kutoa huduma ya msaada wa kisheria kwa Wanawake na walemavu.

Kipekee tunapenda kuwashukuru gazeti la  kwa kutambua jitahada na mchango wetu katika jamii. Programu hii ya Msaada wa k...
21/11/2024

Kipekee tunapenda kuwashukuru gazeti la kwa kutambua jitahada na mchango wetu katika jamii. Programu hii ya Msaada wa kisheria ni endelevu na tunawasii Wananchi ambao wanahitaji msaada wasisite kukaribia ili tuweze kuwapatia huduma.

Tunafurahi kuona jitiada zetu zikiwa recognised, tutaendelea kutoa huduma kwa jamii kwa moyo mmoja. Shukrani kwa  for re...
20/11/2024

Tunafurahi kuona jitiada zetu zikiwa recognised, tutaendelea kutoa huduma kwa jamii kwa moyo mmoja. Shukrani kwa for recognizing and featuring us on todays newspaper

Tulipata Mapokezi mazuri sana Parokia ya Mburahati, hatuna neno la ziada zaidi ya kushukuru 🙏
20/11/2024

Tulipata Mapokezi mazuri sana Parokia ya Mburahati, hatuna neno la ziada zaidi ya kushukuru 🙏

Wanasheria wetu wakiwa wanatoa huduma ya msaada wa kisheria katika parokia ya Mburahi.
18/11/2024

Wanasheria wetu wakiwa wanatoa huduma ya msaada wa kisheria katika parokia ya Mburahi.

Jana tulifanikiwa kuzindua   katika parokiani kwako ya Familia Takatifu - Mburahati, Programu hii ni maalum kwa kutoa hu...
18/11/2024

Jana tulifanikiwa kuzindua katika parokiani kwako ya Familia Takatifu - Mburahati, Programu hii ni maalum kwa kutoa huduma ya msaada wa kisheria.

Tunafurahi kwa mapokezi tuliyoyapata katika parokia ya Mburahati na waumini wengi walijitokeza kupata huduma hii.

Tumefanikiwa kutoa msaada wa kisheria kwa wakazi wa Kata ya Mchafukoge katika wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, tun...
25/09/2023

Tumefanikiwa kutoa msaada wa kisheria kwa wakazi wa Kata ya Mchafukoge katika wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, tunategemea kuendelea na zoezi hili kila ijumaa ya mwisho wa mwezi katika kata hii. Tunawakaribisha wote katika huduma hii.

Heri ya siku ya Wafanyakazi
01/05/2023

Heri ya siku ya Wafanyakazi

Heri ya Siku ya Muungano
26/04/2023

Heri ya Siku ya Muungano

Heri ya Siku ya Muungano
26/04/2023

Heri ya Siku ya Muungano

Eid Mubarak
21/04/2023

Eid Mubarak

Address

Makunganya/Simu Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

08:00 - 17:00

Telephone

+255762274919

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sheria Poa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Sheria Poa:

Shortcuts

Share

Category