08/04/2025
Safari imeandaliwa na Ghomme Schools.
Safari inaratibiwa na JULOM TOURS & SAFARIS.
Wanafunzi wa shule nyengine za Msingi na Sekondari pia wanaruhusiwa kujiunga nasi.
Wanafunzi wawe na umri wa miaka 10 - 20.
Karibuni sana.