Tabata_chemistry

Tabata_chemistry Ijue chemistry ikufae katika maisha ya Kila siku

07/01/2021
TEST OF WATER USING COPPER (II) SULPHATEJinsi ya kujua k**a kimiminika chako ni maji, chukua copper sulphate imwagie maj...
07/01/2021

TEST OF WATER USING COPPER (II) SULPHATE

Jinsi ya kujua k**a kimiminika chako ni maji, chukua copper sulphate imwagie maji itabadirika kutoka nyeupe kuwa rangi ya blue

COPPER (II) SULPHATEa very important chemical in the labkemikali ya kopa ya salfeti ni kemikali iliyopo katika kundi la ...
07/01/2021

COPPER (II) SULPHATE
a very important chemical in the lab

kemikali ya kopa ya salfeti ni kemikali iliyopo katika kundi la chumvi ambayo inatumika kujaribia maji au kuweza kujua k**a kimiminika chako ni maji halisi

GIRLS CAN BECOME CHEMISTS(wanawake wanaweza kuwa wakemia)-Ewe msichana au mwanamke, nawe unaweza kubobea katika kujifunz...
22/12/2020

GIRLS CAN BECOME CHEMISTS
(wanawake wanaweza kuwa wakemia)
-Ewe msichana au mwanamke, nawe unaweza kubobea katika kujifunza na kupata maarifa ya elimu ya MADAWA na kemikali maana katika maisha ya kila siku tunakutana na kemikali kuanzia sabuni tunazotumia mpaka vyakula, kemikali ambazo zinahitaji elimu ili kuzitengeneza na kuzitumia vizuri

TEST TUBE-Ni glasi nyembamba iliyotenegezwa na glass ngumu ambayo hutumika katika maabara(laboratory) kuwekea vimiminika...
22/12/2020

TEST TUBE
-Ni glasi nyembamba iliyotenegezwa na glass ngumu ambayo hutumika katika maabara(laboratory) kuwekea vimiminika kwa kikemikali, kuchanganyia vimiminika na kuunguzia vimiminika au kupashia joto vimiminika

HADUBINI( MICROSCOPE)Ni kifaa makini kinachotumiwa na wanasayansi wakiwemo wana kemia katika kuangalia na kukuza vitu vy...
20/12/2020

HADUBINI( MICROSCOPE)
Ni kifaa makini kinachotumiwa na wanasayansi wakiwemo wana kemia katika kuangalia na kukuza vitu vyenye muonekano mdogo kwa macho

Chemistry carrier- Kwa kusoma somo la chemistry hata wanawake wanaweza kupata ujuzi mbalimbali mfano kuwa mfamasia, dokt...
20/12/2020

Chemistry carrier
- Kwa kusoma somo la chemistry hata wanawake wanaweza kupata ujuzi mbalimbali mfano kuwa mfamasia, dokta, nesi, mchunguzi n.k

Angalia mdada huyu mahili katika kemia

ELECTRONIC BEAM BALANCEKatika chumba cha maabara huwa tunahitaji kupima sampuli za maada(matter) ili tuweze kuzitumia ka...
20/12/2020

ELECTRONIC BEAM BALANCE
Katika chumba cha maabara huwa tunahitaji kupima sampuli za maada(matter) ili tuweze kuzitumia katika kufanya majaribio mbalimbali.
Angalia hapa ni Mzani wa kielektroniki unaotumia umeme kupima uzani wa hata kiasi kidogo zaidi cha kemikali

Chemical reaction (mpambano wa kikemikali)-vitu vikikutana au kuwekwa pamoja au kuchanganywa vinaweza au visiweze kupamb...
20/12/2020

Chemical reaction (mpambano wa kikemikali)
-vitu vikikutana au kuwekwa pamoja au kuchanganywa vinaweza au visiweze kupambana kutegemeana na tabia za vitu hivyo.

Angalia hapa chini kemikali (vitu) zimepambana na kuzalisha gesi mithili ya mvuke
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Hey! Sasa jiunge na WhatsApp group la Tabata_chemistry kupitia let link hii hapa chiniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
02/12/2020

Hey! Sasa jiunge na WhatsApp group la Tabata_chemistry kupitia let link hii hapa chiniπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

WhatsApp Group Invite

Chemistry is life because all the body parts of living things composes chemical components
24/05/2020

Chemistry is life because all the body parts of living things composes chemical components

CHEMISTRY LABORATORY(MAABARA YA CHEMISTRY)Is a special room where chemistry experiments are conducted-ni chumba maalumu ...
08/05/2020

CHEMISTRY LABORATORY
(MAABARA YA CHEMISTRY)
Is a special room where chemistry experiments are conducted

-ni chumba maalumu kinachotumiwa kufanyia majaribio ya kikemikali

MAABARA hii ni lazima iwe na
-miundombinu ya maji
-miundombinu ya umeme
-miundo mbinu ya gesi
-miundo mbinu ya kutolea hewa chafu na maji machafu yaliyochanganyika na kemikali
-madirisha makubwa yanayoweza kuingiza hewa safi kwa wingi
-mlango mkubwa unaofunguka kwa nje
-makabati ya kuhifadhia kemikali

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tabata_chemistry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category