Mwemezi Foundation For Education Co Ltd

Mwemezi Foundation For Education Co Ltd

Share

To establish, develop and run pre-schools, primary schools, secondary schools, colleges, universities and vocational schools in Tanzania.

Company objectives:

1. To attain highest goods in education,maintain and improve standards of education in Tanzania.

2. To establish, develop and run pre-schools, primary schools, secondary schools, colleges, universities and vocational schools in Tanzania.

3. To establish professional cooperation and coordination with other similar national and international institutions in the initiation and

22/07/2023

Tunakutangazia nafasi za KAZI ya Mwl wa Bible Knowledge kwa kidato cha 1 mpaka kidato cha 4.
Tuma maombi yako kupitia WhatsApp 0755911880 au piga simu hiyo kwa maelezo zaidi

29/12/2022

Mwaka Mpya wa masomo 2023 unaanza hivi karibuni. Mlete mwanao EDEN VALLEY SECONDARY kwa masomo na malezi bora ya Kikristo.
Tunapokea wanafunzi wote kidato cha kwanza mpaka cha nne kwa wanaotaka kuhamia

08/08/2021

Sasa unaweza kupata course yoyote uipendayo kutoka chuo cha NERIAN TECHNICAL COLLEGE kwa campus ya Bunda kuanzia mwezi September. Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa 0717025750.

Mwemezi Foundation For Education Co Ltd 30/06/2021

Karibu Eden Valley Secondary kwa nafasi za kidato cha kwanza na tatu kuhamia mwaka huu 2021 bado zinapatikana.
Shule hii iko chini ya MFEC Ltd. Ina mazingira mazuri na maadili ya Kikristo.
Karibuni sana.

Mwemezi Foundation For Education Co Ltd To establish, develop and run pre-schools, primary schools, secondary schools, colleges, universities and vocational schools in Tanzania.

07/06/2021

Sasa tunapokea wahamiaji kidato cha kwanza na cha tatu kea mwaka huu 2021

12/04/2021

We are in need of Physics/ Chemistry or Physics/Biology teacher for O level.
The vacancy is available at Eden Valley Sec in Mwanza. For more information call 0717025750

06/01/2021

Msimu wa masomo mwaka 2021 ndo unaanza sasa. Leta mwanao kwa Elimu bora toka Eden Valley Secondary iliyo chini ya Mwemezi Foundation. Mtoto atapata Elimu bora ya darasani na ya kimaadili ya mtanzania pia kumcha Mungu.

Nafasi zipo kidato cha kwanza mpaka cha nne na wanaopenda kurudia mitihani yao wanahudumiwa bila ubaguzi wowote.

Elimu ni Ukombozi

Photos from Mwemezi Foundation For Education Co Ltd's post 25/11/2020

Vijana wa Eden Valley Sec wanaoendelea na mitihani yao ya kumaliza kidato cha nne.

24/11/2020

Your age will affect the body not your brain. So try to keep your body energetic and your brain brave .
Contact our foundation for more information

08/11/2020

Business Consultancy!

07/11/2020

Shule ya Eden Valley Secondary School iliyopo ILEMERA, Mwanza Inawatangazia Wazazi/Walezi na Wanafunzi Masomo ya Kidato Cha I-IV na Masomo ya Pre Form I.

Kwa maelezo zaidi soma kitini hapa chini 👇👇👇👇👇👇

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Ubungo
Dar Es Salaam