Mjasiliamali Mdogo

Mjasiliamali Mdogo Tunawafundisha watu kuanzisha Biashara zao wenyewe Ili kufikia Malengo yako

whatsapp 0653993171

⚠️Kuna maamuzi ya aina 3 kwenye Biashara yoyote ⚠️1..Kuamua kuanza Biashara.. (80%)2..kuamua Kufanya Biashara..(18%)3..K...
18/03/2023

⚠️Kuna maamuzi ya aina 3 kwenye Biashara yoyote ⚠️

1..Kuamua kuanza Biashara.. (80%)
2..kuamua Kufanya Biashara..(18%)
3..Kuamua Kukomaa na Biashara.. (2%)

Hizo asilimia(%) kwenye maamuzi ni idadi ya watu... watu wengi wanaanzaga biashara ila hawapo tayari kufanya biashara(namaanisha hawataki kufanya biashara inavyotakiwa ifanyike wanataka wafanye wanavyojua wao na wengi wanafeli ndio maana wanaofanya biashara ni wachache......., na wanao amua kukomaa na biashara ni wachache maana hawaridhiki na kidogo wanachokipata kwenye biashara na ndio wanaofanikiwa kwenye biashara..

So ukianza biashara,ifanye biashara na usiishie hapo komaa nayo😄🤝 ..kujifunza biashara whatsapp 0653993171

MONEY HOME TEAM✅

15/03/2023

Unaanza biashara ,anajitokeza mtu kwenye familia yako anakuambia "umeanza biashara hujui shangazi yako alianzaga na akashindwa?"😃

Et na wewe unaacha baada ya kuambiwa hivyo😃

Swali la kujiuliza... "KWANI WEWE UNAFANANA NA SHANGAZI YAKO?😃🤭"

BRING MONEY HOME TEAM✅
MJASILIMALI MDOGO✅

kujifunza bishara na mafunzo ya biashara whatsapp 0653993171

Kuna RAFIKI yangu mmoja kaniambia    "Kuishi chumba kimoja raha sana 😃🤭 et ukiamka asubuhi unaona vitu vyako vyote😃🤭"Je ...
23/02/2023

Kuna RAFIKI yangu mmoja kaniambia

"Kuishi chumba kimoja raha sana 😃🤭 et ukiamka asubuhi unaona vitu vyako vyote😃🤭"

Je ,Unakubaliana na usemi huu ?😃🤭

MONEY HOME TEAM✅

Kujifunza biashara ni bure karibu whatapp 0653993171

Dunia ya sasa inakanuni Moja ambayo wengi hatui elewi😃🤭 ila Elezwa na mwandishi mmoja wa Kitabu Ambaye yuko kwenye Top 1...
14/02/2023

Dunia ya sasa inakanuni Moja ambayo wengi hatui elewi😃🤭 ila Elezwa na mwandishi mmoja wa Kitabu Ambaye yuko kwenye Top 10 ya matajiri wakubwa Duniani kua👇

*"Dunia ya sasa Hairuhusu upate kile Unachokitaka, Huruhusu Upate kile Unachostahili"*

Kuna vitu unavitaka kimaisha ila haujajiandaa Vikija ukavitunza ndio maana kuna watu wanashida hata bahati nasibu milioni nyingi ila kwakua hakujiandaa nazo na hakustahili kua nazo kwa wakati huo ukimtafuta baada ya miezi 12 unaweza kukuta Amechoka kuliko/kabla hata kupata zile hela za bahati nasibu ...Unachokipata kwa sasa Usimlalamikie mtu wala mungu ndicho unachostahili kwa sasa uKibadilika na kustahili Vikubwa Utapa Vikubwa Zaidi🤭🤝

*Nitafute kwenye picha hapo juu uniambie nimevaaje wakati nikiserebuka na Wafanya biashara wenzangu😃🤭......... LETS NOT FORGET TO KEEP BRING MORE MONEY HOME*

Kujifunza biashara ni bure whatsapp 0653993171

08/02/2023

Mafanikio Yanahitaji Speed Na Maamuzi ya haraka✅

Na Duniani Mungu Katupa wengi vitu vingi sawa k**a Ni mikono na miguu na akili na vinginevyo vyote sawa kwa idadi

Ila inakuaje Mwingine anafanikiwa na Mwingine hafanikiwi nilichokifuatilia na kujifunza ni watu tunatofautiana kiu ya kufanikiwa😃🤝

Maana mnaweza mkawa na Rafiki yako mkakutana na Fursa
Ikaja mbele yenu Mmoja akaamua kupambana nayo kwa speed mwingine akabaki anaangalia na anaepambana nayo akifanikiwa ..alie kuwepo anaiangalia fursa na kusubirisha atasema jamaa kafanikiwa siku hizi na wakati anaanza nilikua nae namuona😃🤭

*Swali LInakuja unataka kuendelea kuwaona wengine wanapiga hatua mpaka lini na wewe uko pale pale😃?*

Let keep MONEY HOME TEAM✅

Kujifunza biashara karibu.whatsapp 0653993171

Dont be Afraid to failBe afraid not to try"Usiogope kushindwa/kuangukaOgopa kuacha kujaribu"   MONEY HOME TEAM✅  Kujifun...
27/01/2023

Dont be Afraid to fail
Be afraid not to try

"Usiogope kushindwa/kuanguka
Ogopa kuacha kujaribu"

MONEY HOME TEAM✅

Kujifunza Biashara whatsapp 0653993171

23/01/2023

Kila mtu anahitajika kuongeza kipato

Bring Money home team✅

Kujifunza biashara karibu whatsapp (+255) 0653 993 171

23/01/2023

1st Time they will think you got Luck😃

Second Time They will still Doubt😳🤔

Third Time they will wish to start early with you😄🤭.
Mara ya kwanza Unapofanya jambo na likaenda vizuri wengi husema Unabahati

Mara ya pili ukifanya zaidi ya mwanzo wataendelea kupata mashaka juu yako

Mara ya tatu utakavyofanya kwa ubora mkubwa na kupiga hatua kubwa wengi husema bora tungeanza na wewe mwanzoni ila mwanzoni walisema pia anza wewe tukuone(wakakusikilizia)😄🤭 ..............
MAKE YOUR POCKET DEEP NOW✅

MONEY HOME TEAM💰....
Join us so we can move together🤝

Whatsapp (+255) 0653993171

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

+255653993171

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjasiliamali Mdogo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share