04/06/2026
Kwanini sikuwambia k**a ni challenge? Sikuwambia sababu wangejipanga kila mtu angesuka sababu ni shindano
Nilitaka nione umakini wao wanapopewa kazi lakini pia endapo yeyote kati yao atapata mteja na kumuonyesha picha nataka kusuka k**a ivi je wataweza!?
Haya twende kazi LIKE, SHARE, COMMENT πππ
BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA, JIUNGE NASI SASA!!
0715 772 091