maumivu_basi

maumivu_basi

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from maumivu_basi, Education, Mwenge Tower Second Flour, Dar es Salaam.

Tunawasaidia watanzania wa jinsia zote kuondokana na changamoto za kiafya k**a kisukari,vidonda vya tumbo na mengine mengi ikiwemo maumivu ya meno na viungio vya mwili (Joint pain) wasiliana nasi kwa msaada

01/06/2021

Nimepona Vidonda Vya Tumbo, Nafurahi Nashukuru Mungu.... 😂🙏🏿

Uimara wa afya ni zaidi ya bahati zote maishani mwanadamu anaweza jivunia, magonjwa yanatesa sana watu wengi....

Mfano halisi ni Mimi hapa...

Kwa majina naitwa Grace Joshua mkazi wa Sinza C jijini Dar es salaam....

Maisha yangu yalikuwa ya huzuni na unyonge toka mwaka 2017 nilipogundulika nina vidonda vya tumbo....

Hali ilikua mbaya sana mwaka 2018 mpaka ikapelekea kuachishwa kazi na bosi wangu, niliumia sana ila nikamlilia Mungu anipe suluhisho la kuniponya vidonda vya tumbo...

Ilifika wakati siwezi fanya kazi yoyote, wala dawa za hospital hazinisaidii tena, vidonda vinatesa jamani,, ilinibidi nirudi kwa mama yangu aniuguze yeye...

Siku moja mama alienda kwenye mkutano wa wajasiliamali ulioandaliwa na kampuni moja hapa jijini Dar es salaam...

Ilikua tarehe 6 mwezi wa pili mwaka huu 2021...

Ndipo alipokutana na mama mmoja aliyejitambulisha k**a Mama Raymond, alimsimulia mama kuhusu kijana wake kupona vidonda, mama akamwambia nina binti yangu kateseka sana na vidonda kwa muda mrefu sana...

Mama yule akampa mama yangu mzazi maelezo wapi pa kuipata dawa...

Kweli mama aliwasiliana na wenye dawa ya vidonda...

Niliitumia kwa muda wa wiki moja na nikapona kabisa vidonda, Mungu alinijibu maombi yangu...

Mpaka natoa ushuhuda huu Mimi ni mzima na mwenye furaha TABASAMU LANGU LIMERUDI....

Najua sio mimi pekee niliteseka na ugonjwa huu wa vidonda vya tumbo....

K**a una ndugu ama rafiki anaeteseka na ugonjwa huu ama k**a ni wewe unaesoma ujumbe huu...

Usisite kuwasiliana na bwana Marton kwa kutuma ujumbe DM na utapatiwa dawa itakayokuponesha ugonjwa huu...

Asante kwa muda wako na Mungu akubariki...🙏🏿

01/06/2021

Karibu! Maumivu Basi
Afya imara, tabasamu tele

Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Mwenge Tower Second Flour
Dar Es Salaam
14113