Arizona Vocational Training Centre

Arizona Vocational Training Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Arizona Vocational Training Centre, Education, Mikocheni A, Dar es Salaam.

Arizona VTC ni chuo kilichosajiliwa na VETA kutoa mafunzo ya ushonaji,usindikaji vyakula ,utengenezaji wa bidhaa za usafi,ngozi na nywele pamoja na kozi nyinginezo nyingi ikiwemo ujasiriamali kwa ujumla.Tunatoa kozi za muda mfupi na za muda mrefu

12/04/2026

Stylish. Comfortable. Affordable.
Everything you want for your child..in one outfit.

Shop Jolly Juniors today..

WHOLESALE & RETAIL

05/04/2026

πŸŽ‰πŸŽ‰

10/03/2026

KARIBU CHUO CHA UFUNDI ARIZONA

Mafunzo kwa vitendo! jisajili 0742466965

11/02/2026

Mafunzo ya ufundi na vipodozi Arizona

Jisajili sasa: 0742466965

KARIBUNI SANA .Chuo cha Arizona kipo Mikocheni A, opp Tanesco kituo bi Chama. Barabarani kabisa. Au tupigie 0742466965
19/01/2026

KARIBUNI SANA .

Chuo cha Arizona kipo Mikocheni A, opp Tanesco kituo bi Chama. Barabarani kabisa. Au tupigie 0742466965

05/01/2026

HAPPY NEW YEAR πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰

CHUO KIMEFUNGULIWA, TUNAPOKEA WANAFUNZI.

WASILIANA NASI : 0742466965

ARIZONA MAFUNZO KWA VITENDO!
12/12/2025

ARIZONA MAFUNZO KWA VITENDO!

Ujuzi na maarifa yanapatikana Arizona. Mafunzo kwa vitendo!
09/12/2025

Ujuzi na maarifa yanapatikana Arizona. Mafunzo kwa vitendo!

MAARIFA NA UJUZI NI UFUNGUO WA MAISHA
01/12/2025

MAARIFA NA UJUZI NI UFUNGUO WA MAISHA

Wiki mpya! mambo mapya kutoka Arizona! KWA TSH 100,000 Tu! Utajiunga na kozi ya kutengeneza vipodozi. Hii ni ofa maalum ...
24/11/2025

Wiki mpya! mambo mapya kutoka Arizona!

KWA TSH 100,000 Tu! Utajiunga na kozi ya kutengeneza vipodozi. Hii ni ofa maalum ya mwisho wa mwaka. K**a ilivyo utamaduni wetu kila mwisho wa mwaka lazima tukuzawadie na safari hii zawadi yetu kwako ni hii FURSA!

USIKOSE, USIACHE IKAKUPITA!
JISAJILI SASA: 0742466965

KOZI ZITAANZA RASMI TAREHE 1/12/2025

WAHITIMU WOTE WATAPATIWA VYETI!

UJUZI NI TIBA.Katika dunia yenye msongo, presha na kutoridhika, vijana wengi wanakabiliana na changamoto za afya ya akil...
20/11/2025

UJUZI NI TIBA.

Katika dunia yenye msongo, presha na kutoridhika, vijana wengi wanakabiliana na changamoto za afya ya akili. Lakini kitu kimoja kimeonekana kuwa tiba yenye nguvu: kujifunza ujuzi mpya.

Kujifunza ujuzi kunasaidia:
β€’ Kuongeza kujiamini
β€’ Kupunguza msongo wa mawazo
β€’ Kukupa mwelekeo na tumaini jipya
β€’ Kukuunganisha na watu wengine wenye malengo k**a yako
β€’ Kukupa nafasi ya kujieleza, kuunda, na kuamini uwezo wako

Kila ujuzi unaojifunza ..iwe ni ufundi, ubunifu, entrepreneurship au digital skills ..unakuwa ngazi ya kukutoa sehemu moja kwenda nyingine.

Wekeza kwenye ujuzi wako. Utaona mabadiliko kwenye akili, moyo na maisha yako.

Address

Mikocheni A
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arizona Vocational Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Arizona Vocational Training Centre:

Shortcuts

Share

Category