Tanzilulquraan madrasa

Tanzilulquraan madrasa Taarifa za shughuli na matukio ambayo yatakuwa yana husu madrasa yetu

20/06/2024
Asalam alaykum  siku ya juma mosi sawa na trh 22 mwez 6 muduru wa Tanzilulquraan madrasa  Ana kamilisha nusu ya dini tuk...
20/06/2024

Asalam alaykum siku ya juma mosi sawa na trh 22 mwez 6 muduru wa Tanzilulquraan madrasa Ana kamilisha nusu ya dini tuku tane mbalagala annex kuja kushuhudia burdani

16/10/2023

Vijana kazini

Alhmdulillah  jambo lime pita salama shukran  wote mlio hudhuria na kushirikiana nasi tuku tane mwakani inshallah
16/10/2023

Alhmdulillah jambo lime pita salama shukran wote mlio hudhuria na kushirikiana nasi tuku tane mwakani inshallah

Juma mosi hii ni siku kubwa sana kwetu usipange kukosa hii si ya kukosa kabisa burdani kubwa itakuwepo
07/10/2023

Juma mosi hii ni siku kubwa sana kwetu usipange kukosa hii si ya kukosa kabisa burdani kubwa itakuwepo

Usipange kukosa
06/10/2023

Usipange kukosa

Hii si ya kukosa siku ya tarehe 14 mwez 10 mwaka 2023 mtume ataswaliwa na burdani itapatikana hii so ya kukosa
05/10/2023

Hii si ya kukosa siku ya tarehe 14 mwez 10 mwaka 2023 mtume ataswaliwa na burdani itapatikana hii so ya kukosa

17/09/2023

Kazinzur toka kwa vijana walio hama toka makkah kwenda madina

17/09/2023

Safar ya mtume kuhama toka makkah kwenda madina

17/09/2023

Kuhama sunna hata mtume na maswahaba walihama

Address

Masaki Street
Dar Es Salaam

Telephone

+255714202006

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzilulquraan madrasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Tanzilulquraan madrasa:

Shortcuts

Share

Category