Pastor Enock Mwansele

Pastor Enock Mwansele Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Pastor Enock Mwansele, Tutor/Teacher, Upanga, Dar es Salaam.

Karibuni katika Ibada ya Ijumaa Kuu, SAA 4:00 Asubuhi.Kutakuwepo KUABUDU & KUSIFU, ikiongozwa na CCC Praise and Worship ...
01/04/2021

Karibuni katika Ibada ya Ijumaa Kuu, SAA 4:00 Asubuhi.
Kutakuwepo KUABUDU & KUSIFU, ikiongozwa na CCC Praise and Worship Team.
CCC Huduma Choir WATAKUWEPO kwa Nyimbo zao Maalum. Pia, CCC Women (WWK) Special Choir WATAIMBA.

Ibada nzima itakuwa Mubashara kwenye fb na instagram. Karibuni Nyote!

07/02/2021
KARIBUNI UPANGA TAG - CITY CHRISTIAN CENTER, WATU WA DINI ZOTE NA MADHEHEBU YOTE. SIKU TANO MAALUM KWA AJILI YAKO NA FAM...
25/01/2021

KARIBUNI UPANGA TAG - CITY CHRISTIAN CENTER, WATU WA DINI ZOTE NA MADHEHEBU YOTE. SIKU TANO MAALUM KWA AJILI YAKO NA FAMILIA YAKO - JUMATATU HADI IJUMAA ~ 25 - 29 JANUARI 2021.

MAOMBI NA MAOMBEZI, KABLA HUJAINGIA OFISINI KWAKO, KWENYE BIASHARA YAKO NA KWENYE MASOMO YAKO. ANZA SIKU YAKO NA BARAKA ZA BWANA MUNGU!!!

Address

Upanga
Dar Es Salaam
00000

Opening Hours

Monday 00:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 00:00 - 15:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pastor Enock Mwansele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Pastor Enock Mwansele:

Shortcuts

Share

Category