LEARN English Language

LEARN English Language KARIBU TUJIFUNZE LUGHA YA KIMATAIFA.

LEARN EGLISH LANGUAGE ni mtandao ambao unafundisha lugha ya kiingereza kwa kutumia lugha ya kiswahili,kiswahili kinatumika kutafsiri na kuelezea zaidi ili kusaidia mwanafunzi kuelewa vizuri.

Ujumbe mhimu kwa watu wote wanapenda kujifunza Lugha ya kiingerezaWatu wengi wanatamani kujua Lugha ya kiingereza vizuri...
14/04/2024

Ujumbe mhimu kwa watu wote wanapenda kujifunza Lugha ya kiingereza

Watu wengi wanatamani kujua Lugha ya kiingereza vizuri Katika kuongea ,kuandika na kusoma.

K**a wewe Ni mmoja wao, Soma hapa mpaka mwisho.

Kwa jina naitwa Jenicia John Ni mwalimu wa somo la Kiingereza mtandaoni toka mwaka 2016

Ninawasaidia watu wanaohitaji kujua Lugha ya kiingereza. Utajifunza mbinu za kujua lugha hii ndani ya mda mfupi. Pia utajifunza nyakati (Tenses) na Aina za maneno (parts of speech)

Nimeandaa darasa la bure kwa ajili yako, K**a utapenda kuhudhulia darasa hilo bonyeza kitufe Cha Whatsup hapo chini kujiunga na darasa la mafunzo bure.

Au tuma ujumbe wa Whatsup kwenda namba 0654221000 kujiunga kwenye mafunzo. Wahi Sasa Kabla darasa halijajaa.

Ni Mimi mwenyewe kujali umuhimu wa elimu ya Lugha ya kiingereza kwa watu wote.

Jenicia John
Mkurungenzi na mwalimu wa LEARN ENGLISH LANGUAGE CENTER (LEL)

CONDITIONAL SENTENCEKuna Aina 3  ktk Lugha ya KiingerezaThere are 3 types of conditional sentences in English languageCo...
03/04/2024

CONDITIONAL SENTENCE

Kuna Aina 3 ktk Lugha ya Kiingereza

There are 3 types of conditional sentences in English language

Conditions type 1
Conditional type 2
Conditional type 3

Kwa leo tutajifunza *conditional type 1

Conditional type 1
Hii inatuambia kitu Fulani kitafanyika K**a Hali Fulani itakuwa imetimizwa au kutekelezwa

It tells us that something will take place if certain condition is fulfilled

Hali hii inaweza kutokea/kutekelezwa au isitekelezwe

This condition can be fulfilled or my not be fulfilled.

03/04/2024

Good morning my lovely people!

Haya ni maneno ambayo yanaweza kuwa majina ya watu,majina ya sehemu ,majina ya vitu,kuelezea zaidi vitu,kuelezea zaidi k...
28/12/2023

Haya ni maneno ambayo yanaweza kuwa majina ya watu,majina ya sehemu ,majina ya vitu,kuelezea zaidi vitu,kuelezea zaidi kuhusu watu,au sehemu.

Pia hutumika kuelezea tendo lilivyofanyika na uhusiano wa maneno katika sentensi.Haya ni maneno ambayo kila moja lina kazi yake katika kukamilisha maana ya sentensi.

Nouns - Nomino / majina

Adjectives - Vivumishi

Pronouns - Viwakilishi

Verb - Vitenzi

Adverb - vielezi

Preposition - Vihusishi

Conjuction - Viunganishi

Interjection - Vihisishi

02/08/2023

Je unatamani kujifunza Lugha ya kiingereza?? K**a jibu ndio weka namba yako ya Whatsup kwenye comments

22/09/2019

Mambo Matatu Muhimu ya Kuzingatia Ukiwa Unajifunza Lugha Yoyote Ngeni.

Karibu msomaji wa mtandao wa LEARN ENGLISH LANGUAGE,karibu katika somo la leo ambapo tutajifunza mambo muhimu ya kuzingatia ukiwa unajifunza lugha yoyote ngeni.Hivyo sisi tunajifunza lugha ya kiingereza hatuna budi kujifunza na kuzingatia mambo haya.Unapojifunza lugha ya kiingereza unatakiwa kuangalia kila neno katika njia tatu:

1. Maana ya neno :Meaning of the word.

Elewa maana halisi ya neno lolote katika lugha ya kiingereza,hii itasaidia kuelewa maana ya maneno mengine kwa wakati huohuo.

Understanding the meaning of words in English can help you to understand the meaning of other words at the same time.

Example : Mfano
Boy - mvulana
Ukisha jua boy ni mvulana kwa kiingereza lazima katika akili yako utajiuliza msichana anaitwaje kwa kiingereza,lazima utatafuta kujua msichana anaitwaje,tayari utakuwa umejifunza neno jipya.

2. Aina za maneno :Parts of speech

Kuna aina nane za maneno zinazotumika katika lugha ya kiingereza,kama unataka kujua kuongea,kuandika na kusoma vizuri lazima ujue aina za maneno,tambua kwamba kila aina ina sheria zake katika maandishi,matamshi na matumizi.Ni lazima ujifunze kutambua kila neno liko kwenye kundi lipi.Hizi ndio aina za maneno:

• Noun - Jina
• Verb - Kitenzi
• Pronoun - Kiwakilishi
• Adjective - Kivumishi
• Articles - Viambatanishi
• Adverb - Vielezi
• Preposition - Viunganishi
• Conjuction - Vihusishi

3. Matumizi ya neno :Uses of word

Kila neno lina matumizi yake katika kukamilisha maana ya sentensi,ukitambua matumizi ya kila neno ni rahisi kwako kutambua viambatanishi ili kukamilisha sentensi.
Mfano chunguza sentensi zifuatazo matumizi ya neno "What"

• what is on the table? - Kuna nini juu ya meza?
• What is she doing? - Yeye anafanya nini?
• What are you talking about?- Wewe unaongea kuhusu nini?
Hapa utagundua neno "what" lina matumizi kofauti katikakila sentensi.

Msomaji wa LEARN ENGLISH LANGUAGE hayo ndio mambo matatu muhimu ya kuzingatia ukiwa unajifunza lugha ya kiingereza ambayo ni lugha ya kimataifa.Jifunze lugha ya kimataifa kwa kujiunga na mtandao huu ili uweze kupkra mafunzo uweze kuendelea kujifunza kupia email yako.Bonyeza hapa hapa kujiunga na mtandao wetu.karibu tujifunze pamoja.

LEARN ENGLISH LANGUAGEKaribu Tujifunze Lugha Ya Kimataifa         HomeABOUTCONTACTSJOIN USHivi Ndivyo Unavyoweza Kujifun...
01/09/2019

LEARN ENGLISH LANGUAGE
Karibu Tujifunze Lugha Ya Kimataifa

Home
ABOUT
CONTACTS
JOIN US
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kujifunza Lugha Ya Kiingereza
Jenicia John Tuesday, August 16, 2016 No comments

http://tlearningenglish.blogspot.com

Ndugu msomaji leo napenda tujifunze ni kwa namna gani mtu anaweza kujifunza lugha ya kiingereza.Kuna mbinu mbalimbali ambazo mtu anawez...

Address

BOX 42358 DAR ES SALAAM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when LEARN English Language posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share