Chigangwe Godwin

Chigangwe Godwin Golden boy, da winner

SLEEP PARALYSIS Ni hali ya muda mfupi ambapo mtu akiwa amelala anashindwa kusogeza mwili wake, kuzungumza, au hata kupum...
25/10/2025

SLEEP PARALYSIS
Ni hali ya muda mfupi ambapo mtu akiwa amelala anashindwa kusogeza mwili wake, kuzungumza, au hata kupumua vizuri, licha ya kuwa anajitambua (yuko macho kiakili). Hii hutokea katika kipindi cha mpito kati ya usingizi na kuamka.

Kinachotokea:
- Wakati wa usingizi, mwili hupitia hatua ya REM (Rapid Eye Movement) ambapo misuli ya mwili hulemazwa ili kuzuia mwili kuiga harakati zisizo za lazima.
- Katika sleep paralysis, ubongo huamka kabla ya mwili kuondoka kwenye hali hiyo ya kupooza.
- Mtu hushindwa kusogeza miguu, mikono, au mwili mzima kwa sekunde chache hadi dakika chache.

Dalili:
- Kushindwa kabisa kusogea licha ya kuwa macho
- Kupoza kwa kifua au kushindwa kupumua vizuri
- Hali ya hofu au mfadhaiko
- Hisia ya uzito juu ya mwili (k**a kubanwa)

Sababu zinazoweza kusababisha:
- Uchovu au usingizi duni
- Kulala muda usiotosha
- Mabadiliko ya ratiba ya usingizi
- Kulala chali
- Msongo wa mawazo

Sasa mwili wa binadamu hufanya marudio ya vitu ambavyo mtu huvifikiria sana kupitia ndoto, ndio unakuta mtu akikutwa na hali hii halafu akaota ndoto fulani ya kutisha ambayo ni ya kimazingira tu halafu akakupa habari kuhusu WACHAWI unaweza ukajenga hofu ambayo hujawahi itarajia lkn ukweli hakuna mtu mjinga kiasi cha kuacha usingizi wake halafu aje kukusumbua ukiwa umelala 😄 HII SI KWELI

🌄
16/10/2025

🌄

Upo wakati akili inaweza kutamani mwili utende zaidi ya mashine, halafu mifupa na nyama ikatii sheria za asili yao.
10/10/2025

Upo wakati akili inaweza kutamani mwili utende zaidi ya mashine, halafu mifupa na nyama ikatii sheria za asili yao.

15/09/2025
🔥🔥✔️
08/08/2025

🔥🔥✔️

Prof C,,,,,,, hakikisha una furaha ✔️
08/08/2025

Prof C,,,,,,, hakikisha una furaha ✔️

Kukiishi ulichokichagua🔥🔥
14/07/2025

Kukiishi ulichokichagua🔥🔥

Maana halisi ya upambanaji✔️
13/07/2025

Maana halisi ya upambanaji✔️

Umekua kielelezo halisi cha ukubwa wa mtu!!
04/03/2025

Umekua kielelezo halisi cha ukubwa wa mtu!!

//Symbols that teach Truth,,,
04/03/2025

//Symbols that teach Truth,,,

07/12/2024

Kwa Young Africans Sports Club – Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!

HII NI ZAIDI YA HATARIIIIIIII!!!!!!!,
30/10/2024

HII NI ZAIDI YA HATARIIIIIIII!!!!!!!,



Na wao tumewapa Maumivu ya Kimoko 🤩🤩


Address

P . O. Box 05
Dar Es Salaam
GOD99

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chigangwe Godwin posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Chigangwe Godwin:

Shortcuts

Share