Tuwapende Watoto Vocation Education Training Center

Tuwapende Watoto Vocation Education Training Center Tuwapende watoto vtc, Ni chuo cha ufundistadi kilichopo chini ya veta, kinachotoa mafuzo ya ufundist

25/01/2024

HOSTELI ZINAPATIKANA KWA WATOTO WA K**E TU! MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA. KARIBUNI SANA CHUONI KWETU. KWA MAELEZO ZAIDI TUWASILIANE KUPITIA 0745979957.

25/01/2024

HABARI ZA MWAKA 2024 WAUNGWANA?
TUMEFUNGUA CHUO CHETU, BADO TUNAPOKEA WANAFUNZI WAPYA. HOSTEL KWA WATOTO WA K**E ZINAPATIKANA CHUONI KWETU SASA. TUPIGIE KWA NAMBA 0745979957 KWA MAELEZO ZAIDI.

12/10/2023

FOLLOW US ON INSTAGRAM .

02/03/2023

"HUJACHELEWA"
Bado tunapokea wanafunzi katika fani zote. Tupigie 0713061977 au 0745979957.
FANI ZITONAZOTOLEWA NA CHUO CHETU NI:-

FOOD PRODUCTION.
ELECTRONICS
ELECTRICAL INSTALLATION
PLUMBING AND PIPE FITTING
HAIR DRESSING AND BEAUTY THERAPY
INFORMATION COMMUNICATION TECHNOLOGY
TWO WHEEL MECHANICS
TAILORING(USHONAJI)

Chuo kipo bunju B, kitunda. ADA ZETU NI NAFUU SAAANAH!
NYOTE MNAKARIBIHSWA.

06/01/2023
07/09/2022

Mazingira ni mazuri sana kwa kujifunza, FIka chuoni kwetu tuwapende watoto, Tumeanza kusajili wanafunzi wapya kwa mwaka 2023. tupigie 0745979957

07/09/2022

Mazingira ya chuo chetu ni mazuri sana kwa kujifunza, TUpigie kupitia 0745979957 kufahamu mengineyo na kujiunga na chuo chtu, tupo Bunju B, dar es salaam.

07/09/2022

Tumeongeza majengo na fani, Sasa tuna fani ya Two Wheel mechanics na tunapokea wanafunzi wanaorudia mthiani wa kidato cha nne QT.

TANGAZO TANGAZO! TUMEANZA KUTOA FORM ZA MAOMBI YA WANAFUNZI WANAOHITAJI KUJIUNGA NA  KUJIENDELEZA NA NGAZI YA LEVEL THRE...
23/05/2022

TANGAZO TANGAZO! TUMEANZA KUTOA FORM ZA MAOMBI YA WANAFUNZI WANAOHITAJI KUJIUNGA NA KUJIENDELEZA NA NGAZI YA LEVEL THREE(III) KATIKA FANI ZIFUATAZO:-

ELECTRICAL INSTALLATION
INFORMATION TECHNOLOGY
ELECTRONICS

WASILIANA NASI KUPITIA 0713061977 AU 0745979957
KARIBUNI SANA!

25/04/2022

Leo ni tarehe 25 April 2022, tumerudi chuoni baada ya mapumziko mafupi.Bado tunaendelea kupokea wanafunzi kwenye baadhi ya fani tulizonazo hapa chuoni.Kwa maelezo zaidi Wasialana nasi kupitia namba 0713061977 au 0745979957.

Wanafunzi wa Information Technology(IT) walipokua wanaagwa baada ya kumaliza field kipindi cha miezi mitatu , Muhimbili ...
06/04/2022

Wanafunzi wa Information Technology(IT) walipokua wanaagwa baada ya kumaliza field kipindi cha miezi mitatu , Muhimbili national hospital ICT department.
MNH Tunashukuru sana kwa kuwapokea wanafunzi wetu na kua nao kipindi chote hicho cha Mafunzo kwa vitendo. Tunatumaini wamejifunza mengi kutoka kwenu.

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuwapende Watoto Vocation Education Training Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Tuwapende Watoto Vocation Education Training Center:

Shortcuts

Share

Category