09/12/2025
Lusofonia inawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Uhuru! πΉπΏβ¨
Leo tunasherehekea miaka 64 ya amani, umoja, na safari ya maendeleo tangu 1961.
Tujenge taifa lenye maarifa, ushirikiano, na fursa kwa wote.
Happy Independence Day Tanzania! πππ€π
LanguageOpensDoors