Okoa Pesa Zako.
Inapotokea unahitaji kutuma pesa kwa ndugu zako basi epuka kutuma moja kwa moja kutoka katika simu yako.
Endapo una pesa katika akaunti yako ya bank, zitoe halafu kazitume kupitia mawakala moja kwa moja. Hii itakusaidia kuepuka makato yasiyo ya lazima.
Mafunzo Mbali Mbali
Ukurasa huu ni kwa ajili ya kujifunza mambo Mbali Mbali
Unadhani Changamoto ni nini kwa vijana wa Tanzania kukosa ajira?
🤔
Hakikisha msimamo wako haukuumizi...
Unapomchukia mtu hakikisha iwe ni kwa sababu zako binafsi, kamwe usiambukizwe chuki kwa sababu za mtu mwingine.
Hello World
Want your school to be the top-listed School/college in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Contact the school
Website
Address
Dar Es Salaam