19/12/2022
Okoa Pesa Zako.
Inapotokea unahitaji kutuma pesa kwa ndugu zako basi epuka kutuma moja kwa moja kutoka katika simu yako.
Endapo una pesa katika akaunti yako ya bank, zitoe halafu kazitume kupitia mawakala moja kwa moja. Hii itakusaidia kuepuka makato yasiyo ya lazima.