15/03/2026
Hivi nyie mnaopost mambo ya kujigamba ati mna HELA hivi mnamuona .kumbuka kweli??Ama niwaeleweje?
Kutwaaa mnatukanana mitandaoni mara kujigamba eti ooh mimi nina hela kuliko watu wote hapa bongo.. Ujinga mtupu na ulimbukeni..Huo utajiri wenu si muende mkawasaidie watu huko mtaani wanapata shida kila siku.Si mumtafute .kumbuka na awaonyeshe njia ya unyenyekevu kwa Mola wenu.Acheni sifa za kijinga kuonyesha watu upuuzi na mjikite kuwasaidia watu kuinua maisha yao.
Hongera sana .kumbuka wewe ni kioo kweli kweli Mungu akupe afya njema na maarifa zaidi uendelee kuwagusa wenye shida Tupo nyuma yako kakakumbuka