VOFO Company limited

VOFO Company limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VOFO Company limited, Education, Dar es Salaam.

20/11/2023

The gospel power Msasani tag

Sector ya kilimo ni sector muhimu Sana ktk nchi.Serikali pamoja na sector binafsi Kuna umuhimu mkubwa Sana wa kuendeleza...
09/11/2022

Sector ya kilimo ni sector muhimu Sana ktk nchi.
Serikali pamoja na sector binafsi Kuna umuhimu mkubwa Sana wa kuendeleza sector ya kilimo na mifugo kwa maendeleo ya Taifa,

Serikali iangalie kwa umakini sector ya kilimo na mifugo ili kuleta mapinduzi makubwa ya viwanda ,na uchumi ,

Sector ya kilimo ikiimarishwa vizuri kilio Cha ajira itapungua kwa asilimia kubwa Sana ktk nchi .kwani watu wengi watapata ajira, kupitia sector hii.

Hatuna haja ya kununua nguo nje ya nchi , kwani maligafi inayotumika kutengenezea nguo zipo za kutosha hapa nchini ,mfano mikoa mingi ya Tanzania tunalima pamba .

Kuna viwanda vingi vya nguo Leo vimefungwa kutokana na kutozingatia sector ya kilimo.

Leo hii tunaagiza viatu vya ngozi na vitu vyote vya ngozi kutoka nchi za jirani wakati Tanzania tuna zalisha ngozi nyingi kuliko nchi yeyote Africa šŸŒ.
Naomba serikali yetu iimarishe vizuri sector hizi mbili kwa maana ya sector ya kilimo na mifugo.
Hii itasaidia Sana ktk ukuaji wa kiuchumi wa taifa na wananchi kwa ujumla.

Hizi sector zikiamarishwa vizuri .

Nchi itakuwa na chakula Cha kutosha Sana,
Uchumi wa nchi yetu utakua Sana.
Piah Technolojia itaongezeka Sana Kwa upande wa uzalishaji.
Watu wengi watapata ajira za kutosha .

Leo hii vyuo vingi vinazalisha wataalam wengi wa kilimo lakini utaalam wao unaishia mtaani bila kuleta impact ktk jamii, serikali ina haja ya kuangalia hilii kwa umakini Sanaa.

NB.
Kiongozi makini atazalisha watu makini wenye maono na mtazamo chanya , na watu wenye mtazamo chanya watasababisha Taifa lenye uzalendo,

Maana watafanya kwa kizazi kijacho na sio kwa ajili ya watu wachache kwa maslai yao binafsi.
Kilimo #
"Secret of succeful is in the farm"@

    # #0712322482
04/02/2022

#
#0712322482

Kilimo imeajiri asilimia kubwa ya watu .vijana ,wazee,wa mama, n.kHii ndiyo sector muhimu na kubwa kulingana na uhitaji ...
04/02/2022

Kilimo imeajiri asilimia kubwa ya watu .vijana ,wazee,wa mama, n.k
Hii ndiyo sector muhimu na kubwa kulingana na uhitaji wa watu.
Kupitia kilimo watu wengi wamejipatia ajira,chakula, mavazi, pesa, n.k
Tunahitaji kuboresha na kuimarisha zaidi sector ya kilimo, ili kuleta matokeo mazuri ya kiuchumi ndani ya taifa na nje ya taifa.

Hivyo serikali haina budi kuwekeza zaidi ktk sector ya hii kubwa ya kilimo ili kuongeza ajira kwa vijana na fursa zingine muhimu zinazohusu sector hii.
com.ltd .tuko tayari kushirikiana na wakulima ili kuleta matokeo chanya ktk sector ya kilimo ndani taifa letu.
Kwa miradi yote ya kilimo na mifugo , tupige kwa namba hizo
#0756521124/0712322482
Your mostly welcome.
#

Call us through number below+255786376142/0756521124Tunakutumia mahali popote ndani ya Tanzania.
20/09/2021

Call us through number below
+255786376142/0756521124
Tunakutumia mahali popote ndani ya Tanzania.

Huduma tunazotoa ni K**a vile Usimamizi wa miradi yote ya kilimo na mifugo, uvuvi, ushauri wa kilimo na mifugo ,Hii siyo...
18/09/2021

Huduma tunazotoa ni K**a vile
Usimamizi wa miradi yote ya kilimo na mifugo, uvuvi, ushauri wa kilimo na mifugo ,
Hii siyo ya kukosa
Changamoto yeyote unayopitia ktk uzalishaji .
Usisite kutupigia kwa number zifuatazo
+255786376142/0712322482
Zingatia ushauri wa wataalamu ili ufikie matokeo makubwa ktk kilimo, na kutengeneza kipato kikubwa kupitia kilimo na mifugo, uvuvi
Katibu Sana.

18/09/2021
Founder of the big companyVofo company limitedOur service is !Agricultural advise, livestock, fishing,Soil identificatio...
06/07/2021

Founder of the big company
Vofo company limited
Our service is !
Agricultural advise, livestock, fishing,
Soil identification,
Welcome,
Call us through the number below,
+255786376142/+255712322482
'Change your mind first'

Sector ya kilimo ni sector muhimu sana katika ukuaji wa viwanda ,Naomba serikali iangalie sector hii kwa upana zaidi kwa...
03/06/2021

Sector ya kilimo ni sector muhimu sana katika ukuaji wa viwanda ,
Naomba serikali iangalie sector hii kwa upana zaidi kwa kuleta
(1) tecknolojia itakayo sababisha wakulima wahame toka kilimo Cha kawaida na kwenda ktk kilimo biashara.
(2) kuimarisha elimu juu ya uzalishaji , kushirikiana na taasisi mbalimbali zinazohusika na program za kilimo na ufugaji.
(3) kutoa mikopo kwa vijana wenye kiu na moyo wa kuendeleza kilimo biashara .(Agribusiness)
(4) Kuimarisha masoko kwa ajili ya mazao.
(5) serikali ishike mikono wale vijana walio anzisha program nyingi zinazohusika na ukuaji wa kilimo na mifugo.
Kwahiyo serikali yetu izingatie Sana sector kwa kutumia wataalam wengi wenye uzoefu juu ya kilimo.
kwani asilimia 75%ya pato la taifa linatokana na sector hii.
Tuangalie mifano kwa nchi zilizo endelea kwa kilimo na kunafaika Sana juu ya sector hii.
Serikali ikiimarisha sector hii ,itapunguza mwarobaini wa ajira kwa vijana wengi.
#0786376142/0712322482/0756521124
Kwa usahuri wa kilimo, ufugaji,uvuvi, ya mafanikio ipo shambani #

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255786376142

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when VOFO Company limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to VOFO Company limited:

Shortcuts

Share

Category