Tanzania Institute of Accountancy

Tanzania Institute of Accountancy

The Institute is accredited by the National Accreditation Council for Technical Education (NACTE)

Operating as usual

21/07/2021

Heri ya Sikukuu ya Eid-El-Adh'haa; kwako na familia yako
#Eideladhaa2021
#tunakuombeakheri

19/07/2021

MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI KWA WANACHUO TIA MBEYA.
#tia1

MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI KWA WANACHUO TIA MBEYA.
#tia1

16/07/2021

Kwaya ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)~Kampasi ya Kigoma ikitumbuiza katika Mkutano wa hadhara wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dr. Philipo Izdor Mpango. Mkutano huo umefanyika leo tarehe 16/07/2021 katika uwanja wa "Community Center" uliopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.

Vile vile, Mheshimiwa Makamu wa Rais pamoja na viongozi wengine wa Serikali walieleza mipango mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita katika kuufungua Mkoa wa Kigoma na kuufanya kuwa mkoa utakaochochea maendeleo ya Taifa.

15/07/2021

TIA πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

TIA πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 10/07/2021

Timu ya mpira wa miguu (TIA Singida) itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Chuo cha Homboro Dodoma, siku ya jumapili ya tarehe 11/07/2021 asubuhi, jijini Dodoma. Lengo la mchezo huo ni kuimarisha Uhusiano na Afya za watumishi.

MUNGU IBARIKI TIMU YETU!

"ELIMU KWA UFANISI"

09/07/2021

KARIBU TIA NDANI YA JENGO LA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

TUPO TAYARI KUKUHUDUMIA πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

1. UDAHILI WA WANAFUNZI

2. MIONGOZO NA USHAURI KWA WANAFUNZI JUU YA KUJIUNGA NA CHUO

Tupigie kwa msaada 0625 777 744 AU 0764 777 746

07/07/2021

Heri ya Sikukuu ya SABASABA
Ministry of Finance Tanzania

Heri ya Sikukuu ya SABASABA
Ministry of Finance Tanzania

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 06/07/2021

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Eng. Hamad M.Y. Masauni(MB) leo tarehe 06 Julai, 2021 ametembelea Taasisi ya Uhasibu Tanzania, Kampasi ya Dar es Salaam.

Mhe. Masauni amepokea taarifa fupi ya Utendaji iliyowasilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi Dkt. Momole Kasambala.

Aidha, akizungumza katika ziara hiyo amesema Serikali inatambua mchango wa TIA katika maendeleo ya uchumi wa Taifa, pia amempongeza Afisa Mtendaji Mkuu Dkt. Kasambala kwa juhudi kubwa zinazofanywa na Taasisi katika upande wa taaluma, utafiti na ushauri.

"Elimu kwa Ufanisi"

05/07/2021

TIA inawapongeza wanafunzi wote waliochaguliwa na OR- TAMISEMI kujiunga na masomo mwaka 2021/2022

Tupigie kukamilisha Usajili wako

0764 777746, 0677 777 746 & 0626 423049

www.tia.ac.tz

03/07/2021

Tupo SABASABA

Karibu na Jengo la Matangazo

"ELIMU KWA UFANISI"

Tupo SABASABA

Karibu na Jengo la Matangazo

"ELIMU KWA UFANISI"

30/06/2021

TIA tunakutakia mafanikio katika kuliongoza Taifa
#Kaziiendelee

TIA tunakutakia mafanikio katika kuliongoza Taifa
#Kaziiendelee

28/06/2021

Tupo SABASABA

KARIBU BANDA LA TIA LILILOPO NDANI YA JENGO LA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

"Elimu kwa Ufanisi"

Tupo SABASABA

KARIBU BANDA LA TIA LILILOPO NDANI YA JENGO LA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

"Elimu kwa Ufanisi"

24/06/2021

WIKENDI YA WAJASIRIAMALI
Maonyesho ya Bidhaa

1. Karibu uoneshe na kutangaza biashara yako
2. Mafunzo ya Ujasiriamali
3.Ubunifu na utunzaji wa hesabu
4.Nidhamu ya fedha
5.Elimu ya Kodi

Mbeya tarehe 26 Juni, 2021
#tiambeya
#tiambeyaumuhimuwamjasiriamali

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 21/06/2021

Semina ya kuwajengea Uwezo na Kuboresha Utendaji wa Kazi kwa Wahudumu wa Masijala, Mapokezi na Makatibu Muhtasi inayoendele Mkoani Tanga kwa muda siku tano 21/06/2021 - 25/06/2021, Katika Ukumbi wa VETA

20/06/2021

Tuendelee Kukumbushana

Tuendelee Kukumbushana

19/06/2021

1. Bachelor in Accountancy (BAC)
2. Bachelor in Procurement and Logistics Management (BPLM)
3.Bachelor in Public Sector Accounting and Finance (BPSAF)
4.Bachelor in Marketing and Public Relations (BMPR)
5. Bachelor in Human Resource Management (BHRM)
6. Bachelor in Business Administration (BBA)

Maombi yanafanyika kwa njia ya mtandao www.tia.ac.tz

Tafadhali tupigie 0626 423049 0764 777746

Mbeya: 0735 502 276

Singida 0734 777 753, 0627 726 777

Mwanza 0765 099 375, 0786 172 558

Dsm 0764 777746 0677 777 746

17/06/2021

Dirisha limefunguliwa September Intake

CERTIFICATE & DIPLOMA

TAFADHALI TUPIGIE

OFISI YA UDAHILI 0626 423 049

MWANZA 0759 257 737

KIGOMA 0713 132 424, 0624 104 537

SINGIDA 0694 427 227

MBEYA 0735 502276

MTWARA 0625 777 744

DSM 0764 777746 & 0677 777 746

Dirisha limefunguliwa September Intake

CERTIFICATE & DIPLOMA

TAFADHALI TUPIGIE

OFISI YA UDAHILI 0626 423 049

MWANZA 0759 257 737

KIGOMA 0713 132 424, 0624 104 537

SINGIDA 0694 427 227

MBEYA 0735 502276

MTWARA 0625 777 744

DSM 0764 777746 & 0677 777 746

15/06/2021

TIA taasisi bora na kongwe Mafunzo ya Ununuzi na Ugavi
#tunazingatiaubora
#1Procurement&Logistics

TIA taasisi bora na kongwe Mafunzo ya Ununuzi na Ugavi
#tunazingatiaubora
#1Procurement&Logistics

15/06/2021

Dirisha la Udahili limefunguliwa

1.Accountancy
2.Procurement and Logistics Management
3.Business Administration
4. Human Resources Management
5. Marketing and Public Relations
6.Public Sector Accounting and Finance

SIFA ZA KUJIUNGA:
- Mhitimu wa Kidato cha sita mwenye ufaulu wa kuanzia Principal mbili zenye point 4.0 au zaidi

- Mhitimu wa Diploma mwenye GPA ya 3.0

- Mhitimu wa kozi ya Foundation kutoka Chuo Kikuu Huria

WAAMBIE NDUGU,RAFIKI NA JAMAA TIA πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Maombi yanafanyika kwa njia ya mtandao tembelea tovuti yetu www.tia.ac.tz

#0764777746

04/06/2021

Hongera sana Dkt. Momole Kasambala

#superwomanπŸ’ͺ

Hongera sana Dkt. Momole Kasambala

#superwomanπŸ’ͺ

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 31/05/2021

Habari Picha

Mhe. Anthony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Dodoma wa nne kulia akiwa pamoja na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Dkt. Modest Assenga na Viongozi wengine wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika kikao kazi.
31/05/2021

KAZI IENDELEE
www.tia.ac.tz

30/05/2021

Leo tarehe 30 Mei 2021 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka ametembelea banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA) katika Maonesho ya Pili ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi yanayoendelea katika Viwanja vya Jamhuri Mkoani Dodoma.
Mhe. Mtaka ameipongeza TIA kwa kazi nzuri na kuitaka kuandaa kozi fupi za kuwajengea uwezo Watumishi wa Serikali wasio na Elimu ya Fedha k**a vile Maafisa Tarafa na wakuu wa shule ambao wanahusika na Usimamizi wa Fedha.
Aidha, ameitaka TIA kufungua Tawi Dodoma na kuahidi kutupatia majengo ya kufundishia.
KAZI INAENDELEA!

Mhe. John Mwaipopo Mkuu wa Wilaya ya Igunga ametembelea banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Maonesho ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi NACTE Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Amesisitiza kufanya kazi kwa ushirikiano na upendo ili kufikia malengo ya TIA.

#tiadodoma2021

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 28/05/2021

Prof. Carolyne Nombo - Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ametembelea banda la Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Maonesho ya Elimu & Mafunzo ya Ufundi NACTE leo tarehe 28/05/2021 Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Amesisitiza umuhimu wa kuwa wabunifu kwa kuendana na Kauli Mbiu "Kuimarisha Ushirikiano wa Wadau katika Kukuza Ujuzi wa Maendeleo ya Uchumi wa Viwanda"

28/05/2021

Wanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Jamhuri Dodoma wakipata elimu juu ya kozi zitolewazo na jinsi ya kufanya maombi katika Maonesho ya Elimu na Ufundi NACTE 2021.

Kozi za Certificate & Diploma zitolewazo na TIA

Accountancy
Procurement and Logistics Management
Business Administration
Human Resource Management
Marketing and Public Relations
Public Sector Accounting and Finance

Sifa za Kujiunga Certificate
Mwombaji awe amefaulu angalau masomo 4 kwa kiwango cha alama "D" au zaidi (Isipokuwa masomo ya dini)

Diploma
Awe na Cheti cha Awali (NTA Level 4) ambaye pia ana ufaulu wa angalau masomo 4 kwenye elimu ya Sekondari

Awe na Cheti cha Kidato cha Sita mwenye ufaulu wa angalau Principal moja na Subsidiary moja.

kupitia tovuti ya TIA www.tia.ac.tz

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 21/05/2021

Wanafunzi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kampasi ya Kigoma, wamepata elimu kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu utambuzi wa alama za usalama katika noti zetu na namna bora ya utunzaji wa noti na sarafu

#tiaelimukwaufanisi
#tiakigoma2021

13/05/2021

Tunawatakia Sikukuu njema ya Eid

#tiaelimukwaufanisi

Tunawatakia Sikukuu njema ya Eid

#tiaelimukwaufanisi

11/05/2021

Maonesho ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) 2021 yanaendelea jijini Dodoma Uwanja wa Jamhuri.

Karibu upate Ushauri wa KOZI ya kusoma kulingana na UFAULU.

TIA inamthamini na kumjari Mwanafunzi. ELIMU ya ujasiriamali hutolewa katika kozi zote, umwezesha mwanafunzi wa TIA kupata maarifa

Tunatoa ushauri wa kitaalam na kufanya tafiti timizi katika fani za Uhasibu, Ununuzi na Ugavi, Usimamizi wa Biashara, Uongozi wa Rasilimali Watu, Menejimenti na Masoko na nyaja nyingine zinazohusiana na masuala ya biashara.

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 03/05/2021

Wajumbe wa Bodi ya ushauri (MAB) na watendaji wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) pamoja na mameneja wa kampasi wamepewa mafunzo maalumu ya Utawala bora yaliyotolewa na Taasisi ya wakurugenzi (Institute of Directors.) Katika Ukumbi wa mikutano wa Bunge jijini Dar es salaam kwa mda wa siku mbili kuanzia leo tarehe 03/05/2021 hadi 04/05/2021

Mafunzo hayo yamelenga kuimarisha utawala bora wa maendeleo ya TIA na kujenga maslahi bora kwa serikali, watanzania kwa kuzingatia ushirikiano na kutimiza wajibu kwa Bodi ya Ushauri ya Taasisi na Utawala.

Mafunzo hayo yamehudhuriwa na wakuu wa kampasi wa Taasisi ya TIA kutoka mikoa ya Mbeya, Mwanza, Kigoma, Singida na Mtwara pamoja na Dar es salaam.

Picha ya pamoja ya Wajumbe wa Bodi Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TIA pamoja na Viongozi wa TIA

#tiakaziiendelee2021

25/04/2021

Tunawatakia Watanzania wote Maadhimisho mema ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

MIAKA 57 YA MUUNGANO
#Kaziiendelee
www.tia.ac.tz

Tunawatakia Watanzania wote Maadhimisho mema ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

MIAKA 57 YA MUUNGANO
#Kaziiendelee
www.tia.ac.tz

Photos from Tanzania Institute of Accountancy's post 13/04/2021

Bw. Haji Juma Mkuu wa Idara Huduma ya Maktaba akitoa maelekezo namna ya kutumia Maktaba kwa Wanachuo wapya wa muhula wa Machi 2021

TIA "ELIMU KWA UFANISI"

#studentsorientationweek2021

07/04/2021

Kumbukumbu ya Miaka 49

Hayati Abeid Amani Karume
Rais wa Kwanza wa Zanzibar

04 AGOSTI 1905 - 7 APRIL 1972
#Karumeday2021

Kumbukumbu ya Miaka 49

Hayati Abeid Amani Karume
Rais wa Kwanza wa Zanzibar

04 AGOSTI 1905 - 7 APRIL 1972
#Karumeday2021

05/04/2021

Menejimenti, Wafanyakazi na Jumuiya nzima ya TIA Tunakupongeza kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Elimu ya Msingi, Elimu ya Sekondari na Ufundi Stadi).
Tunatambua na kuthamini mchango wako kwa Taasisi.
"Elimu kwa Ufanisi "

[02/20/21]   MARCH INTAKE 2021

BADO HUJACHELEWA KUFANYA MAOMBI YA CERTIFICATE & DIPLOMA.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI LEO TAREHE 20/02/2021 MWAMBIE NA MWINGINE

Tafadhali tupigie 0764 777746

ELIMU KWA UFANISI
#TiaMarchintake2021

[01/19/21]   πŸ’₯MARCH INTAKE 2021πŸ’₯
CERTIFICATE & DIPLOMA
Apply Today for March Intake through www.tia.ac.tz
Deadline 20th February 2021
Call us 0677 777 746 & 0625 777 744
#tiamarchintake2021

Videos (show all)

Location

Category

Products

Accountany,Procurement,Human Resources,Logistics Management,Business Administration,Marketing and Public Relations,Public Sector Accounting and Finance

Telephone

Address

P.O.BOX 9522
Dar Es Salaam
JUNCTION OF KILW
Other Specialty Schools in Dar es Salaam (show all)
Premium Tutors Premium Tutors
P. O. Box 14613
Dar Es Salaam, 255

We provide one on one home based tutoring services for various syllabuses. Please Contact us for more information.

Institute of finance management(IFM) Institute of finance management(IFM)
Shaban Robert
Dar Es Salaam, +255

Fun-Lugha Fun-Lugha
Mbezi Beach
Dar Es Salaam

Your one stop language shop in Tanzania

Ugunda College of Business Management and Information Technology Ugunda College of Business Management and Information Technology
UBUNGO
Dar Es Salaam, 14115

Office Building: Ubungo Kibo P. O.BOX 24527, Dar es Salaam, Tanzania 0779330896 0715 057 053 [email protected]