Mwalimu Salanga

Mwalimu Salanga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwalimu Salanga, Education, VIKINDU, Dar es Salaam.

13/02/2023
Naitwa Mwalimu Salanga ni Mkurugenzi wa kampuni ya SUNRISE Ujasiriamali ni ajira pia ni Mwalimu wa masomo ya Ujasiriamal...
13/02/2023

Naitwa Mwalimu Salanga ni Mkurugenzi wa kampuni ya SUNRISE Ujasiriamali ni ajira pia ni Mwalimu wa masomo ya Ujasiriamali natoa mafunzo yangu online kupitia Madarasa yangu ya Whatsapp karibu nikuhudumie apa nikiwa kwenye harakati zangu za kwenda kutoa ujuzi nilionao kwa watu wengine.

Kwa mahitaji ya mafunzo yangu JIUNGE kwenye Madarasa yangu ya Whatsapp kupitia simu namba:
0682456819
YouTube channel SUNRISE Tz
Au nipigie kupitia iyo namba nitakupa mwongozo jinsi ya kujiunga.

Ivi ni kweli mpaka Leo upo nyumbani na hujui nini cha kufanyaUsiwe mvivu kupitiliza kijana jitume kwa kujiunga na mafunz...
13/02/2023

Ivi ni kweli mpaka Leo upo nyumbani na hujui nini cha kufanya

Usiwe mvivu kupitiliza kijana jitume kwa kujiunga na mafunzo yangu ya ujasiriamali

Utajifunza jinsi ya kutengeneza Ubuyu wa vipande kupitia madarasa yangu ya whatsapp

Kumbuka biashara za mia mia ambazo watu wanazidharau sana ndizo zinazoleta faida kubwa tafakari chukua hatua

Wasiliana nami leo kupitia whatsapp namba
0682456819.

YouTube channel ya Sunrise Tz

Nitakupa mwongozo wa kujiunga na sunrise kwenye madarasa yangu ya ujasiriamali ili upate mafunzo yalo bora

Ili na wewe uweze kijiingizia kipato halali kwa urahisi sana.

12/02/2023

Address

VIKINDU
Dar Es Salaam

Telephone

+255682456819

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwalimu Salanga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category