06/08/2021
Chukua nafasi kutambua ni njia ipi bora ambayo mwanao anaitumia kujifunza mambo, usitumie nguvu nyingi kumfundisha kwa njia zako ambazo hazikidhi mahitaji yako, utakuwa kwenye hatari ya kumfanya mtoto apoteze msukumo wa kujifunza au hata kupoteza uwezo mdogo ambao tayari alikwishaanza upata katika kujifunza kwake.
"Unafanya kazi nzuri, usisite kuiboresha kila inapobidi"