01/06/2026
π TANGAZO LA MAFUNZO YA UFUGAJI WA KUKU KITAALAMU π
Je, unataka kuanza au kuboresha ufugaji wako wa kuku na kupata faida zaidi?
Basi k**a jibu n ndio,, Karibu kwenye mafunzo ya ufugaji wa kuku kitaalamu yanayohusisha aina zote za kuku, ikiwemo:
β
Kuku wa Kienyeji
β
Broiler (Kuku wa Nyama)
β
Layers (Kuku wa Mayai)
β
Sasso
β
Kuroiler
β
Na aina nyingine mbalimbali za kuku yaani (kuku chotara)
Darasa hili ni la WhatsApp sababu kupitia WhatsApp watu wengi ndio hujifunza Kwa urahisi zaidi na hujifunza Kwa wingi zaidi.
Haya n baadhi ya mambo utakayojifunza endapo utajiunga na kundi hilo la ufugaji wa kuku WhatsApp:
πΉ Ujenzi wa banda bora la kuku
πΉ Uchaguzi wa vifaranga bora
πΉ Lishe na utengenezaji wa chakula cha kuku
πΉ Ratiba za chanjo na tiba
πΉ Utambuzi na udhibiti wa magonjwa
πΉ Mbinu za kuongeza uzalishaji na faida
πΉ Masoko ya kuku na mayai
π° Haya yote itakuwa n Kwa Ada ya Mafunzo: Shilingi 2,000/= tu kwa mwezi....
Mafunzo haya yanafaa kwa wanaoanza na wafugaji wenye uzoefu wanaotaka kuongeza ufanisi katika ufugaji wao.
π Wasiliana nasi kwa namba za Simu WhatsApp 0767037203 ili kujiunga na mafunzo au bonyeza link hapo chini ili uweze kuunganishwa..
https://chat.whatsapp.com/JvMdzPVpFT8EebxMpUV7mn?s=cl&p=a&mlu=3
"Ufugaji wa kisasa ni njia ya uhakika ya kuongeza kipato chako."