02/12/2022
Wanafunzi wetu wa Hanos Daycare and Nursery school wamefaulu Kwa kishindo kikubwa mitihani Yao ya darasa la kwanza.. Tunajivunia kutoa elimu Bora na tunawatakia maendeleo mazuri zaidi 🥲😇.
Karibuni Hanos Kwa elimu na malezi ya watoto ya kiwango Cha juu.