05/10/2022
Tunawatakia kila la kheri watoto wetu wanaofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi
Shule Direct Kids is a mobile App for Primary School to improve the accessibility of qualified learning content for primary school pupils in Tanzania.
05/10/2022
Tunawatakia kila la kheri watoto wetu wanaofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi
01/06/2022
Tunakutakia heri na baraka katika huu mwezi mpya. Kumbuka kupakua app ya umpe mtoto afanye maswali ya marudio na majaribio, wakati huu ambapo watoto wetu wanajiandaa na mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza wa mwaka wa masomo. Mpe fursa mtoto ajifunze kidijitali.
19/05/2022
Maonyesho ya ya wiki ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu yanaendelea kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
tupo ndani ya banda la mbia wetu tayari kukuonyesha mambo mazuri ya kumsaidia mtoto wako kufaulu. Karibu sana
19/05/2022
Omary na Grace, wanafunzi darasa la 4 na la 6 Shule ya Msingi Uhuru, jijini Dodoma wako tayari kukupokea na kukuonyesha wanafaidikaje na jukwaa la kujifunzia la
Hujachelewa, karibu uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye maonyesho ya ya Wiki ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu
18/05/2022
Mzazi unasubiri nini kumleta mtoto wako kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye Maonyesho ya ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu.
Sisi na mbia wetu tuko hapa wiki nzima kuanzia saa mbili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni, tutakuelezea na kukuonyesha namna jukwaa la linavyomsaidia mtoto wako kuongeza umahiri wa Kusoma, Kuandika, Kuhesabu na kumuandaa K**a mbunifu wa kiteknolojia ajae.
12/05/2022
Bado tupo katika maonyesho ya wiki ya ubunifu hapa JNICC-Dar es Salaam, tunaendelea kuwaelimisha wazazi, walezi, walimu pamoja na wanafunzi wanaofika katika banda la juu ya faida na umuhimu wa majukwaa ya kujifunzia ya kidijitali.
Karibuni Sana.
________________________________________
11/05/2022
Mzazi, Mlezi, Mwalimu tembelea banda la hapa katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre uweze kujifunza mambo mbali mbali kuhusu majukwaa ya kujifunzia ya kidijitali.
Timu ya iko hapa katika wiki ya ubunifu. Karibuni Sana.
___________________________________________
Tunakutakia wewe na familia yako kheri, baraka, furaha, amani na upendo wakati huu wa sikukuu ya Eid.
29/04/2022
Tukiwa tunaendelea kuadhimisha Juma la wiki Ya Elimu Wilayani Igunga, Tabora.
Leo tulikua na Wanafunzi wa shule ya Msingi tukiwa tunajifunza kwa Njia Ya kidijitali kupitia jukwaa letu la .
28/04/2022
Tukiwa Bado tunaendelea kuadhimisha juma la wiki Ya Elimu Wilayani Igunga, Tabora. Wadau na washirika wa mtandao wa Elimu Shule Direct] wamejumuika kwa pamoja na Wanafunzi wa Msingi Mwenge na kuweza kujifunza pamoja kidijitali kupitia majukwaa Yetu ya .
Shule Direct]
26/04/2022
Siku ya pili ya ilianza kwa kutembelea Shule Ya Msingi Igunga, iliyopo Wilayani Igunga, Tabora.
Timu Ya pamoja na wakishirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu kwenye Kikao kilichohudhuriwa na Wanafunzi, walimu na wazazi.
Aidha ziara hii iliendelea hadi Shule ya sekondari ya Nanga nakufanya Kikao na walimu, wazazi, Wanafunzi, viongozi wa Dini pamoja na Mila.
25/04/2022
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwenge, wakiwa wanajifunza na Mwalimu Kicheko kupitia darasa lake la kidijitali linalofadhiliwa na kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mwenge, wilayani Igunga, mkoani Tabora ambapo tupo wiki yote hii kuadhimisha wiki ya Elimu nchini
Karibuni walimu, wazazi, wanafunzi na marafiki wa elimu, tujadiliane na kwa pamoja tuwekeze kwa ajili ya elimu bora kwa watoto wetu.