Shule Direct Kids

Shule Direct Kids Shule Direct Kids is a mobile App for Primary School to improve the accessibility of qualified learning content for primary school pupils in Tanzania.

Tunawatakia kila la kheri watoto wetu wanaofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi
05/10/2022

Tunawatakia kila la kheri watoto wetu wanaofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi

Tunakutakia heri na baraka katika huu mwezi mpya. Kumbuka kupakua app ya   umpe mtoto afanye maswali ya marudio na majar...
01/06/2022

Tunakutakia heri na baraka katika huu mwezi mpya. Kumbuka kupakua app ya umpe mtoto afanye maswali ya marudio na majaribio, wakati huu ambapo watoto wetu wanajiandaa na mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza wa mwaka wa masomo. Mpe fursa mtoto ajifunze kidijitali.

Maonyesho ya   ya wiki ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu   yanaendelea kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma.   tupo ndani ya...
19/05/2022

Maonyesho ya ya wiki ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu yanaendelea kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

tupo ndani ya banda la mbia wetu tayari kukuonyesha mambo mazuri ya kumsaidia mtoto wako kufaulu. Karibu sana

  Omary na Grace, wanafunzi darasa la 4 na la 6 Shule ya Msingi Uhuru, jijini Dodoma wako tayari kukupokea na kukuonyesh...
19/05/2022

Omary na Grace, wanafunzi darasa la 4 na la 6 Shule ya Msingi Uhuru, jijini Dodoma wako tayari kukupokea na kukuonyesha wanafaidikaje na jukwaa la kujifunzia la

Hujachelewa, karibu uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye maonyesho ya ya Wiki ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu


Mzazi unasubiri nini kumleta mtoto wako kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye Maonyesho ya   ya Sayansi, Teknolojia na...
18/05/2022

Mzazi unasubiri nini kumleta mtoto wako kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma kwenye Maonyesho ya ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu.

Sisi na mbia wetu tuko hapa wiki nzima kuanzia saa mbili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni, tutakuelezea na kukuonyesha namna jukwaa la linavyomsaidia mtoto wako kuongeza umahiri wa Kusoma, Kuandika, Kuhesabu na kumuandaa K**a mbunifu wa kiteknolojia ajae.

Bado tupo katika maonyesho ya wiki ya ubunifu hapa JNICC-Dar es Salaam, tunaendelea kuwaelimisha wazazi, walezi, walimu ...
12/05/2022

Bado tupo katika maonyesho ya wiki ya ubunifu hapa JNICC-Dar es Salaam, tunaendelea kuwaelimisha wazazi, walezi, walimu pamoja na wanafunzi wanaofika katika banda la juu ya faida na umuhimu wa majukwaa ya kujifunzia ya kidijitali.

Karibuni Sana.


________________________________________

Mzazi, Mlezi, Mwalimu tembelea banda la   hapa katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre   uweze k...
11/05/2022

Mzazi, Mlezi, Mwalimu tembelea banda la hapa katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre uweze kujifunza mambo mbali mbali kuhusu majukwaa ya kujifunzia ya kidijitali.

Timu ya iko hapa katika wiki ya ubunifu. Karibuni Sana.


___________________________________________

03/05/2022

Tunakutakia wewe na familia yako kheri, baraka, furaha, amani na upendo wakati huu wa sikukuu ya Eid.


  Tukiwa tunaendelea kuadhimisha Juma la wiki Ya Elimu Wilayani Igunga, Tabora.Leo tulikua na Wanafunzi wa shule ya Msin...
29/04/2022

Tukiwa tunaendelea kuadhimisha Juma la wiki Ya Elimu Wilayani Igunga, Tabora.
Leo tulikua na Wanafunzi wa shule ya Msingi tukiwa tunajifunza kwa Njia Ya kidijitali kupitia jukwaa letu la .





  Tukiwa Bado tunaendelea kuadhimisha juma la wiki Ya Elimu Wilayani Igunga, Tabora. Wadau na washirika wa mtandao wa El...
28/04/2022

Tukiwa Bado tunaendelea kuadhimisha juma la wiki Ya Elimu Wilayani Igunga, Tabora. Wadau na washirika wa mtandao wa Elimu Shule Direct] wamejumuika kwa pamoja na Wanafunzi wa Msingi Mwenge na kuweza kujifunza pamoja kidijitali kupitia majukwaa Yetu ya .


Shule Direct]


Siku ya pili ya   ilianza kwa kutembelea Shule Ya Msingi Igunga, iliyopo Wilayani Igunga, Tabora. Timu Ya  pamoja na  wa...
26/04/2022

Siku ya pili ya ilianza kwa kutembelea Shule Ya Msingi Igunga, iliyopo Wilayani Igunga, Tabora.

Timu Ya pamoja na wakishirikiana na wadau mbalimbali wa Elimu kwenye Kikao kilichohudhuriwa na Wanafunzi, walimu na wazazi.

Aidha ziara hii iliendelea hadi Shule ya sekondari ya Nanga nakufanya Kikao na walimu, wazazi, Wanafunzi, viongozi wa Dini pamoja na Mila.




Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwenge, wakiwa wanajifunza na Mwalimu Kicheko kupitia darasa lake la kidijitali  linalofadh...
25/04/2022

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mwenge, wakiwa wanajifunza na Mwalimu Kicheko kupitia darasa lake la kidijitali linalofadhiliwa na kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mwenge, wilayani Igunga, mkoani Tabora ambapo tupo wiki yote hii kuadhimisha wiki ya Elimu nchini

Karibuni walimu, wazazi, wanafunzi na marafiki wa elimu, tujadiliane na kwa pamoja tuwekeze kwa ajili ya elimu bora kwa watoto wetu.






Address

#539 Old Bagamoyo Road, Msasani
Dar Es Salaam
14111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shule Direct Kids posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The School

Send a message to Shule Direct Kids:

Shortcuts

Share

Category