06/09/2026
Kuelekea Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu ya Msingi (Darasa la Saba) 2026, Wanafunzi wa Faith Nursery & Primary School walipokea maombi na baraka kutoka kwa Bishop Katunzi.
Pia walitumia fursa hiyo kueleza kwa kujiamini mambo mbalimbali kuhusu shule yao na safari yao ya kielimu.
Tunawaombea hekima, ujasiri mafanikio katika mtihani wao.
FAITH NURSERY & PRIMARY SCHOOL
๐ Mgeninani Street, Kijichi, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.