12/12/2021
🔻SHAMBA BOY🔻
PART 1✌🤞
Sasa Kuna maana gane niishi nyumba ya starehe na hakuna amani🥺🥺🥺. Nlijiambia kimoyomoyo nkaanza kuregret😭😭😭." Why always me" nlisema nkijuta. Nlijua uyu mama ameongea kwa phone angenipata kwa ground angeniona war ingine mwendaa😑😑. Sasa ngefanyaje na mtoi bado alikuwa mdogo. Ama niambie mark sifeel kukaa uku niende kwa mama joy🤔🤔🤔. Nlianza kusaka alternative mbiobio. Nlishika phone mbiobio nkapigia mama joy...
Me: hello mama joy, hope uko poa, uku nkubaya 😭😭😭
Mama joy: Ni nini tena Juliet, mtoto ako sawa???
Me: si story na mtoto haki, nmepigiwa simu sai nkatishiwa maisha na mama flani😭😭😭, amesema atadeal na Mimi properly 😭😭😭
Mama joy: kuwa serious Juliet, uyo anaweza kuwa Bibi ya mark amepata habari kukuhusu. Namjua Sana uyo mama ako na tabia ingine weird Hadi hawakuwa wanaelewana na mzee Deng Deng
Me: so hebu unikujie, nataka nirudi kwako cause huku sikai😭😭😭, staki nshambuliwe na npigwe😑😑😑
Mama joy: na umeongea na mark???
Me: nop, ako mteja. Si......
Simu ikakatika🥺🥺🥺🥺. Nlicall mama joy akakuwa mteja pia. Nliweka simu kwa meza nkaanza kutembea tembea kwa sitting room expensive bila amani. Nlianza kukumbuka instances K**a hii nliwai watch kwa tv ambapo Dem anawawa or even kumwagiwa acid because amedeal na bwana ya wenyewe😭😭😭. Nlishtuka Sana cause nlijua maisha yangu yamo hatarini. " Hadi hawakuwa wanaelewana na mzee Deng Deng" nlikumbuka maneno ya mama joy uoga ikaniingia zaidi. Nkiwa nachungulia kwa dirisha ivi phone ikaring Tena😳😳, nlianza kufeel butterflies kwa stomach heartbeat yangu ikarace. Nlijua ni uyo mama adui wangu amepiga😳😳😳
Nlifikia simu nkachungulia mpigaji nkaacha kushtuka nkaanza kufeel nko safe. Mark alikuwa amecall back🤗🤗🤗. Nlishika simu mbiobio nkaanza
Me: hello Mark, please nmerecieve call ya kutishiwa😭😭😭, if uko around ukuje uku haraka cause naogopa😭😭
Mark: hey Juliet 🤔🤔🤔, are you okey, what are you talking about??????
Me: I mean Kuna mama flani amenicall akas