25/05/2026
KITABU CHA BIASHARA YA SPARES
Hiki kitabu kinaeleza jinsi ya kuanzisha biashara ya spares ambayo inapata wateja wengi, mapato makubwa na faida, hivyo kuwa biashara endelevu
Ili kusaidia wajasiriamli ambao wanataka kuanzisha biashara ambazo zinapata faida na kuwa endeleveu, tumechapisha hiki kitabu cha biashara ya spares
Kitabu kimegawanywa katika sura 19
1. Kuanzisha biashara
2. Uchaguzi wa biashara
3. Fursa ya kufanya biashara
4. Uchaguzi wa eneo la biashara
5. Ushindani wa biashara
6. Uchaguzi wa wateja wa biashara
7. Uchaguzi wa bidhaa za spare
8. Manunuzi ya spare za magari
9. Plan ya biashara ya spare
10. Kupanga bei za spares
11. Uteuzi wa wafanyakazi
12. Mkakati wa kufanya biashara
13. Mtaji wa biashara ya spare
14. Hesabu za biashara ya spare
15. Matangazo ya biashara
16. Kuanzisha biashara ya spare
Kwa maelezo zaidi kuhusu hiki kitabu wasiliana nasi kupitia WhatsApp Number +255 716 682 439
Sasa unaweza kununua kitabu Online kupitia https://buff.ly/txluITP