Nopa Daycare & Nursery School

Nopa Daycare & Nursery School Admission in progress at affordable price. Children between the age of 1 to 5. Hand in hand we learn ���

JE WEWE NI MZAZI? Na bado unajiuliza mwanao utamuacha wapi pindi uendapo kazini?      Sasa umepata suluhisho..... mlete ...
07/01/2022

JE WEWE NI MZAZI? Na bado unajiuliza mwanao utamuacha wapi pindi uendapo kazini? Sasa umepata suluhisho..... mlete mwanao NOPA DAY CARE & NURSERY CENTRE Huduma Bora, Mazingira safi na salama kwa mtoto. 📞0762 686963 0784 942656 KARIBUNI SANA

Uongozi wa shule ya NOPA Daycare & Nursery Center unakutakia wewe pamoja na familia yako kila la kheri kwenye msimu huu ...
24/12/2021

Uongozi wa shule ya NOPA Daycare & Nursery Center unakutakia wewe pamoja na familia yako kila la kheri kwenye msimu huu wa sikukuu na mwaka mpya. Asante kwa kuendela kuwa nasi 🥰🙏

Uongozi wa shule ya NOPA Daycare & Nursery Center unawapenda kuwatakia kheri waTanzania wote sikukuu ya UHURU wa Tanzani...
08/12/2021

Uongozi wa shule ya NOPA Daycare & Nursery Center unawapenda kuwatakia kheri waTanzania wote sikukuu ya UHURU wa Tanzania. 1961-2021 .

08/12/2021

Mtoto mzuri aitwaye Haika, akimalizia kazi aliyopewa kutoka kwa Mwalimu wake baada. Mlete Mwanao NOPA Daycare & Nursery Center apate elimu bora na malezi mazuri zaidi. Tupigie au wjatsApp kwa namba hiohio 0767 686 963

Zawadi pekee ya maisha kumrithisha mtoto wako ni ELIMU tu. Mlete mwanao tumpe haki yake anayostahili katika maisha yake ...
03/12/2021

Zawadi pekee ya maisha kumrithisha mtoto wako ni ELIMU tu. Mlete mwanao tumpe haki yake anayostahili katika maisha yake ya sasa hadi baadae kwani elimu ndio msingi wa maisha.

Kujenga uhusiano mzuri baina ya Mtoto na Mwalimu ndio jukumu letu kwani itamsaidia zaidi katika utambuzi. Karibu sana NO...
03/12/2021

Kujenga uhusiano mzuri baina ya Mtoto na Mwalimu ndio jukumu letu kwani itamsaidia zaidi katika utambuzi. Karibu sana NOPA Daycare and Nursery Center kwa malezi bora ya Mwanao...

Karibu sana NOPA Daycare and Nursery School.
30/11/2021

Karibu sana NOPA Daycare and Nursery School.

Address

Makondeko
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 16:00
Tuesday 07:00 - 16:00
Wednesday 07:00 - 16:00
Thursday 07:00 - 16:00
Friday 07:00 - 16:00

Telephone

+255767686963

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nopa Daycare & Nursery School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category