16/03/2025
Karibuni wapendwa !
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from SALT Vocational Training Center, Dar es Salaam.
Tunapokea watoto wenye changamoto za ufahamu kama vile usonji, (autism spectrum disorder) down syndrome , utundu uliopitiliza (ADHD),Ulemavu wa ufahamu(II) na mtindio wa ubongo (cerebral palsy ) kuanzia miaka 10 na kuendelea.
16/03/2025
Karibuni wapendwa !
Fine motor skills can be taught in more productive ways! Every thing we do is of therapeutic value!!
Karibu Salt Center ambapo kazi za kuimarisha misuli midogomidogo hufanywa kwa njia za uzalishaji Mali..
04/07/2024
To my lovely children
25/06/2024
Congratulations Guarav for your achievements. Salt and bibi are very proud of you. For the short time you joined us we have seen great potentials on you.
14/06/2024
Asante Mungu kwa kunipa nafasi ya kuongeza mwaka mwingine. Hivi nilivyo ni kwa neema yako. Nipe heri yako na Baraka zako nikutumikie katika Roho na kweli.
Happy birthday to me!
13/06/2024
Make it better for us!
31/05/2024
Special visitation from special people who are special in saving lives of special people. Al Muntazir Special Education Needs
06/02/2024
Mkutano wa makubaliano ya uwekezaji wa kupambana na saratani baina ya Tanzania na Marekani. Ukumbi wa Hyatt Regency. Pamoja tutatokomeza saratani
31/12/2023
Ni siku ya kumbukumbu yako ya kuzaliwa kwako rafiki yangu kipenzi na mshauri wangu . Mungu akutunze mwanangu ukue katika kufuata maagizo yake .Happy birthday mini me!
28/10/2023
Ŕemember being happy does not mean you have it all, it's simply because you are thankful for what you have.
15/10/2023
Ninamshukuru Mungu ,kuwa leo ninaitwa shujaa wa saratani. Kwa mashujaa wenzangu Tuendelee kumtumikia Mungu kwa zawadi ya upendeleo tuliyopewa. Japokuwa safari hii sio rahisi.
Kwa waliotangulia Mungu awapumzishe kwa amani.
Kwa wengine tukumbuke kuchunguza afya zetu mara kwa mara.
04/10/2023
Jichunguze , saratani inatibika.