02/12/2024
Karibu kwenye ukurasa wetu wa !
Tunawaalika kwa moyo mkunjufu kushiriki nasi katika safari ya kujifunza na kutafakari maneno matukufu ya Allah. Pamoja tutaimarisha imani, kueneza upendo, na kujifunza zaidi kuhusu Qur'an na mafundisho yake.
Jiunge nasi kupitia links hizi:
Ukurasa wa AswatulQuran
Kundi la AswatulQuran
“Na shikamaneni na kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarakane.” (Surat Aal Imran: 103)
Tukaribishe nuru ya Qur'an katika maisha yetu. Tafadhali jiunge na tushirikiane katika kheri.